TP Mazembe vs Simba Sports Club

Gooooooooooaaaaaaaaaaaal......................aaaaaaaaaargh Offside Amir Maftah
 
Matatizo ya kiufundi everywhere haka kanci bwana! Huku kanda ya ziwa Dowans imetoweka toka asbh tulijipanga kusikiliza radio one nao wametupiga changa la macho ila wametupa updates saa 1630hrs matokeo yalikuwa TP 1 NA SIMBA 0 Simba kwishne.
 
Game over Simba 2 TP Mazembe 3(Aggregate TP Mazembe 6 Simba 3).

Hongereni Simba kwa kufa kiume....lol
 
simba ushuzi tu

Yaani wewe ungekuwa Rais, nchi hii ingekuwa Ulaya. Yaani Senks mara 999,9999,99999,99999.

Simba wamef**wa na kuto**wa na TP Mazembe inakera mno, yaani ndani ya nyumba yetu wenyewe. Ebo nisijefungiwa bure namaanisha wamefungwa na kutolewa....sorry?

Wanachezewa nyuma..halafu kunateleza tu...watu wanaingiza tu.....ebo nisijefungiwa namaanisha wanachezewa nyuma ya uwanja halafu mvua imenyesha kunateleza wanaanguka.

Simba kum***zenu......ah!!! leo nina nini?? yani Simba kumalizia pasi zenu golini mnashindwa?

Naishia hapo nimekasirika mpaka naona kizunguzungu yaani 3-2 na mpira umeisha...kum..zenu simba...ah kumalizia pasi zenu Simba!!!
 
taratibu mkuu, ukishabikia sana mpira wa bongo utakufa kwa presha
 
Ahsante Lady N kwa kunisaidia kimawazo....mi kuf...kuf...kufungwa fungwa kila siku loh! ngoja nitoke huku...narudi zangu JJ/UU..nikarudishie afya niliyopoteza dakika hizi.
 
TP Mazembe ni timu ambayo huwa inaupiga kwenye FIFA Club World Cup Soccer,last year nadhani walitolewa na AC Milan...Miye nilikuwa mshabiki wa Simba ila cjafuatilia kwa muda,sidhani kama they hold a chance over TP Mazembe.

Ni Internationale Milan ya Samuel Eto'o Fils
 
TP Mazembe ni timu ambayo huwa inaupiga kwenye FIFA Club World Cup Soccer,last year nadhani walitolewa na AC Milan...Miye nilikuwa mshabiki wa Simba ila cjafuatilia kwa muda,sidhani kama they hold a chance over TP Mazembe.

Jmushi heshima mbele....
Siku nyingine ukitaka kuizungunzia AC Milan nakushauri unijulishe ili nikupe mwongozo.
 
Back
Top Bottom