TP Mazembe vs Simba Sports Club

Hivi kwa nini wachezaji wa Tanzania hawana miili kama wachezaji wa nchi zingine? Wa nchi zingine wamepanda na kuonyesha stamina. Je, hii inaweza kuwa sababu ya kuathiri team zetu?
Je, kuvunjwa kwa UMISETA kutakuwa kumepunguza pool selection ya vijana walioshiba from mikoa ya bara?
Ukialinganisha wachezaji wetu wa siku hizi na wa miaka ya 80, kuna tofauti kubwa sana.
 
Back
Top Bottom