Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 844
- 883
Ndio 10 kwa pamoja mzee,?Daah nadhani kwa makato yalivyo hapo umeikuta hela kwa makato yalivyo unaweza ukaikuta chini ya 5000..pana makato ya ajabu sana.
Ndio 10 kwa pamoja mzee,?Daah nadhani kwa makato yalivyo hapo umeikuta hela kwa makato yalivyo unaweza ukaikuta chini ya 5000..pana makato ya ajabu sana.
😂😂😂😂Dodoso LA sensa unanyumba ngapi ndugu mwananchi ??????
Makato yaliyopo ni wizi mtupu mkuu wengi wametoa pesa bank wanaangalia njia nyingine ya kutunza fedha..hela inakatwa mzee hatariNdio 10 kwa pamoja mzee,?
Daa mzee hii ni balaaMakato yaliyopo ni wizi mtupu mkuu wengi wametoa pesa bank wanaangalia njia nyingine ya kutunza fedha..hela inakatwa mzee hatari
Sasa mbna mm kabla sijatoa wamekqta 10000Ajab mpk viongozi wenyewe wanalalamika [emoji849]View attachment 2328817
Possible akaunti yk uliiacha muda mrefu bila transactions. So imekula na charges nyengine.Sasa mbna mm kabla sijatoa wamekqta 10000
Njia ipi mzee baba!!!Makato yaliyopo ni wizi mtupu mkuu wengi wametoa pesa bank wanaangalia njia nyingine ya kutunza fedha..hela inakatwa mzee hatari
Watu walisahau kusafirisha dollar kwenda kununua bidhaa huko kwenye maghala ya Pombe ilikua bank to bank na wamekariri Swift code tuu huu mfumo nimeona wameanza kununua tena dollar ili wasafirishe au kutunza fedha zao risk yake ni kubwa ila wazee wa Tozo wanachukua kiasi kikubwa sana niliona malipo aliyokatwa jamaa inasikitisha sana bora serikali iandae bakuri ichangiwe kuliko huu wizi batili..Njia ipi mzee baba!!!
Wasisahau risk nyenginezo. Kuna vibaka wanaiba kwa kiinimacho siku hizi. Mbali na majanga mengineyo.
Hizi tozo mpk wakubwa wanalalamika. Nishawaskia si mmoja wala si wawili.Watu walisahau kusafirisha dollar kwenda kununua bidhaa huko kwenye maghala ya Pombe ilikua bank to bank na wamekariri Swift code tuu huu mfumo nimeona wameanza kununua tena dollar ili wasafirishe au kutunza fedha zao risk yake ni kubwa ila wazee wa Tozo wanachukua kiasi kikubwa sana niliona malipo aliyokatwa jamaa inasikitisha sana bora serikali iandae bakuri ichangiwe kuliko huu wizi batili..
Madhara ya kupunguza mzunguko bank watayaona ingawaje yanachukua muda mrefu kuonekana hawa wazee wa V 8 hawawezi kuona...Hizi tozo mpk wakubwa wanalalamika. Nishawaskia si mmoja wala si wawili.
Tupaze sauti kulalamika kwa kweli labda waliopo juu watasikia na kuziondoa.
Labda ni makato ya miamala ya kutoa Toka tarehe 1 mwezi 7 hadi ulipopata hiyo 20,000.Sasa mbna mm kabla sijatoa wamekqta 10000