Tozo zimehamia kwenye Ma-Benki

Tozo zimehamia kwenye Ma-Benki

Kwenye kabati tu sasa kama wasomali hahahah Na hiyo ac waifunge tu!
 
Mpendwa mteja, utakatwa tozo za Serikali kwa miamala ya kuanzia tarehe 1/7/22 na kuendelea. Hii ni kufuatia mabadiliko ya tozo za miamala ya fedha.

Na bado watanzania tupo kimya as if hakuna kitu kinaendelea...Hakuna penye unafuu Dah[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Wako wapi chadema walio kuwa wanamchafua JPM USIKU NA MCHANA....sisi tulijua lengo la chadema alikuwa jema mbona kipindi hiki cha ufisadi wamenyamaza kimya ...tuliwaambia watz kuwa chadema ni VIBARAKA WA MAFISADI WATU WAKABISHA SASA UKWELI UMEANZA KUJULIKANA [emoji1787]
 
Serikali ina mikopo mingi hivyo kodi lazima ikusanywe kwa nguvu
 
Wako wapi chadema walio kuwa wanamchafua JPM USIKU NA MCHANA....sisi tulijua lengo la chadema alikuwa jema mbona kipindi hiki cha ufisadi wamenyamaza kimya ...tuliwaambia watz kuwa chadema ni VIBARAKA WA MAFISADI WATU WAKABISHA SASA UKWELI UMEANZA KUJULIKANA [emoji1787]
I second Brother
 
Muajiriwa analipa direct na indirect tax zifuatazo, pamoja na makato mengine

PAYE
BIMA
PENSION FUND
HESLB
Chama cha wafanyakazi
Tozo za Mitandao ya Simu
Kodi ya nyumba ya Kupanga kwenye Luku
Na zingine nilizosahau

Halafu mmeleta na hii dahView attachment 2328873
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom