Popo- pole wajua leo , kaza twende pamoja hii ndiyo Tanzania yetu
Naichukia sana hii serikali, yumkini kuliko serikali yoyote ile. Nahisi imekuja kunipa stress zaidi za maisha....
Juzi nilikamatwa na watoza ushuru, wakinishuku sitoi receipt..Tukaenda ofisini kwao..baadaye wakasema nilete document zote nikapeleka..Mzee kitengoni akasema...enyi vijana mbona sioni shida kwa huyu? Akawaita ofisini, wamekaa kama dakika 5 hivi wakarudi kusema...tumeongea tumeona tu tukuruhusu tumekusamehe...ila usirudie...Nilibaki nashangaa sana. Nilijikuta machozi yanatoka.
Jirani yangu alitoa 1.3M kuhonga asipogwe faini ya 3M ukiangalia mazingira aliyokamatiwa unashangaaa....eti radio subwoofer ameandika receipt ndogo ya 120,000 badala ya 160,000 yaani yaani ndo ulipe 1.3M tena si kwa controll number??? Kweli jamani kweli[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Haya mambo haya!!!
Hivi watanzania wenzangu, hatuyaoni haya/kila mtu achukue zake????[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Awamu hii imekuwa ya shida kila mahali... Ukiagiza bidhaa Dsm gharama ya usafiri imepanda karibu mara mbili.
Halafu leo waziri wa biashara sijui anasema cement imeshuka bei....wakati mtaani bei ndo zinapanda yaani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kama ni mfanya biashara ukisema uende somoni vyakula vimepanda bei utafikiri tunakomolewa yaani[emoji24][emoji24][emoji24]
Baadhi ya taasisi ukienda sasa baadhi ya watumishi yaani ni maringooo tu, unawabembeleza kulipa mapato ya serikali hawajali yaani..ni kama wao nao wamechoka yaani...
Yule Mzee alikuwa na mapungufu yake lakini, hatukuwa huku tulikofika[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] tuliheshimiana, hakukuwa na inflation kama hii tuionayo!!!
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]