Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hili nalo mkalitizameMliambiwa kuwa achaneni nao hao ni wapigadili. Sahizi naona sasa mmejionea wale wapigadili ambao JPM alikuwa akiwasema kila akipata nafasi![]()
Hili nalo mkalitizameMliambiwa kuwa achaneni nao hao ni wapigadili. Sahizi naona sasa mmejionea wale wapigadili ambao JPM alikuwa akiwasema kila akipata nafasi![]()
Kwani, kueleza UKWELI ulivyo kunamhitaji mtu aende CHATO?, Maelezo yake yanatusaidia wengi kufanya MAAMUZI SAHIHI katika masuala mbalimbali yanayohusu fedha ( kutoa fedha, kufanya biashara, kufanya manunuzi, namna sahihi na rahisi ya kuhifadhi fedha kwa mujibu wa muktadha).Nenda Chato kamlilie.
Umeharibu hapo mwishoni. Yule mzee tena?Naichukia sana hii serikali, yumkini kuliko serikali yoyote ile. Nahisi imekuja kunipa stress zaidi za maisha....
Juzi nilikamatwa na watoza ushuru, wakinishuku sitoi receipt..Tukaenda ofisini kwao..baadaye wakasema nilete document zote nikapeleka..Mzee kitengoni akasema...enyi vijana mbona sioni shida kwa huyu? Akawaita ofisini, wamekaa kama dakika 5 hivi wakarudi kusema...tumeongea tumeona tu tukuruhusu tumekusamehe...ila usirudie...Nilibaki nashangaa sana. Nilijikuta machozi yanatoka.
Jirani yangu alitoa 1.3M kuhonga asipogwe faini ya 3M ukiangalia mazingira aliyokamatiwa unashangaaa....eti radio subwoofer ameandika receipt ndogo ya 120,000 badala ya 160,000 yaani yaani ndo ulipe 1.3M tena si kwa controll number??? Kweli jamani kweliHaya mambo haya!!!
Hivi watanzania wenzangu, hatuyaoni haya/kila mtu achukue zake????Awamu hii imekuwa ya shida kila mahali... Ukiagiza bidhaa Dsm gharama ya usafiri imepanda karibu mara mbili.
Halafu leo waziri wa biashara sijui anasema cement imeshuka bei....wakati mtaani bei ndo zinapanda yaani
Kama ni mfanya biashara ukisema uende somoni vyakula vimepanda bei utafikiri tunakomolewa yaani
Baadhi ya taasisi ukienda sasa baadhi ya watumishi yaani ni maringooo tu, unawabembeleza kulipa mapato ya serikali hawajali yaani..ni kama wao nao wamechoka yaani...
Yule Mzee alikuwa na mapungufu yake lakini, hatukuwa huku tulikofikatuliheshimiana, hakukuwa na inflation kama hii tuionayo!!!
![]()
Burundi, madelu alishauri hivyoSijui nihamie nchi ganii
🤣🤣🤣🤣Dodoso LA sensa unanyumba ngapi ndugu mwananchi ??????
Si Mwigulu alisema Burundi? Au Ndai naye ni kama mama?Sijui nihamie nchi ganii
Bado sana! Sindano haijafika hata robo ya inakotakiwa kufika ili akili zichangamkeNaona baadhi ya watanzania wenzangu limeanza kuwachosha hili.
Daah nadhani kwa makato yalivyo hapo umeikuta hela kwa makato yalivyo unaweza ukaikuta chini ya 5000..pana makato ya ajabu sana.Mtu kanitumia 20000 jana ,nmeenda benk nmekuta 10000, imekaaje hii?