wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,865
UsipanikiWe acha watu wateme nyongo
mwendazake ana kasoro kibao ila hyu amezidi halina huruma na wananchi hta kidogo.
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app

Naichukia sana hii serikali, yumkini kuliko serikali yoyote ile. Nahisi imekuja kunipa stress zaidi za maisha....
Juzi nilikamatwa na watoza ushuru, wakinishuku sitoi receipt..Tukaenda ofisini kwao..baadaye wakasema nilete document zote nikapeleka..Mzee kitengoni akasema...enyi vijana mbona sioni shida kwa huyu? Akawaita ofisini, wamekaa kama dakika 5 hivi wakarudi kusema...tumeongea tumeona tu tukuruhusu tumekusamehe...ila usirudie...Nilibaki nashangaa sana. Nilijikuta machozi yanatoka...
Jirani yangu alitoa 1.3M kuhonga asipogwe faini ya 3M ukiangalia mazingira aliyokamatiwa unashangaaa....eti radio subwoofer ameandika receipt ndogo ya 120,000 badala ya 160,000 yaani yaani ndo ulipe 1.3M tena si kwa controll number??? Kweli jamani kweli[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Haya mambo haya!!!
Hivi watanzania wenzangu, hatuyaoni haya/kila mtu achukue zake????[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Awamu hii imekuwa ya shida kila mahali... Ukiagiza bidhaa Dsm gharama ya usafiri imepanda karibu mara mbili.
Halafu leo waziri wa biashara sijui anasema cement imeshuka bei....wakati mtaani bei ndo zinapanda yaani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kama ni mfanya biashara ukisema uende somoni vyakula vimepanda bei utafikiri tunakomolewa yaani[emoji24][emoji24][emoji24]
Baadhi ya taasisi ukienda sasa baadhi ya watumishi yaani ni maringooo tu, unawabembeleza kulipa mapato ya serikali hawajali yaani..ni kama wao nao wamechoka yaani...
Yule Mzee alikuwa na mapungufu yake lakini, hatukuwa huku tulikofika[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] tuliheshimiana, hakukuwa na inflation kama hii tuionayo!!!
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mzee msuya akisema hatuchukui hatua watu wanamshambuliaMpendwa mteja, utakatwa tozo za Serikali kwa miamala ya kuanzia tarehe 1/7/22 na kuendelea. Hii ni kufuatia mabadiliko ya tozo za miamala ya fedha.
Na bado watanzania tupo kimya as if hakuna kitu kinaendelea...Hakuna penye unafuu Dah[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Watoze tuu ilimradi tunaona matokeo kama haya ndani ya mwaka mmja haijawahi tokea 👇Mpendwa mteja, utakatwa tozo za Serikali kwa miamala ya kuanzia tarehe 1/7/22 na kuendelea. Hii ni kufuatia mabadiliko ya tozo za miamala ya fedha.
Na bado watanzania tupo kimya as if hakuna kitu kinaendelea...Hakuna penye unafuu Dah[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Faini ya mil 3 ilianzishwa na Magufuli?Hii fine ya 3M ililetwa na huyo unaemlilia kukomoa wafanya biashara, hicho kikosi kazi cha kukamata ambao hawatoi receipt au receipt zisizo za halali alianzisha unaemlilia, swala la malipo kutokua na control number huyo huyo unaemlilia ndio alianzisha “refer bargains za uhujumu uchumi”
Kipindi cha huyo mwendazake wafanyabiashara walikua treated kama waizi wa nchi haya yote ni matunda ya huyo unaemlilia,
Tozo zipo na zilizipitishwa kihalali bungeni , Ila sioni kosa maana ni lazima serikali ikusaye pesa. Bank mwezi uliopita hawakukata Ila wataanza kukata sasa hivi na watakata pia za miamala yote ya atm iliyofanyika mwezi wa 7
Naichukia sana hii serikali, yumkini kuliko serikali yoyote ile. Nahisi imekuja kunipa stress zaidi za maisha....
Juzi nilikamatwa na watoza ushuru, wakinishuku sitoi receipt..Tukaenda ofisini kwao..baadaye wakasema nilete document zote nikapeleka..Mzee kitengoni akasema...enyi vijana mbona sioni shida kwa huyu? Akawaita ofisini, wamekaa kama dakika 5 hivi wakarudi kusema...tumeongea tumeona tu tukuruhusu tumekusamehe...ila usirudie...Nilibaki nashangaa sana. Nilijikuta machozi yanatoka...
Jirani yangu alitoa 1.3M kuhonga asipogwe faini ya 3M ukiangalia mazingira aliyokamatiwa unashangaaa....eti radio subwoofer ameandika receipt ndogo ya 120,000 badala ya 160,000 yaani yaani ndo ulipe 1.3M tena si kwa controll number??? Kweli jamani kweli[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Haya mambo haya!!!
Hivi watanzania wenzangu, hatuyaoni haya/kila mtu achukue zake????[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Awamu hii imekuwa ya shida kila mahali... Ukiagiza bidhaa Dsm gharama ya usafiri imepanda karibu mara mbili.
Halafu leo waziri wa biashara sijui anasema cement imeshuka bei....wakati mtaani bei ndo zinapanda yaani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kama ni mfanya biashara ukisema uende somoni vyakula vimepanda bei utafikiri tunakomolewa yaani[emoji24][emoji24][emoji24]
Baadhi ya taasisi ukienda sasa baadhi ya watumishi yaani ni maringooo tu, unawabembeleza kulipa mapato ya serikali hawajali yaani..ni kama wao nao wamechoka yaani...
Yule Mzee alikuwa na mapungufu yake lakini, hatukuwa huku tulikofika[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] tuliheshimiana, hakukuwa na inflation kama hii tuionayo!!!
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sawa mremboUsipaniki mke wangu mzuri, ukiona inauma chomoa.
Faini ya mil 3 ilianzishwa na Magufuli?
Mimi ni SHAHIDI, wamenikata 22,000/= leo hii
Nitaweka kwenye mtungi, kwani kabla hawajaleta hayo mabenki yao babu zetu waliweka wapi pesa zao?Makato ya benki yamezidi, yanasababisha tuanze tembea na hela zote
Wenye maamuzi ndio waliopitisha hilo, tambua huna wa kukuamliaWaweke utaratibu wa kukata mala moja kwa kila mwezi
Sasa hii kila ukitoa hela ATM kichwa kinaliwa kwakweli hii ni shida
Wenye maamuzi saidie hii sio sawa mpka kufikia leo nishakatwa mpaka napata kizunguzungu
tuombe dua uchaguzi ukaribie tuone sera zake zitaegemea wapiWe lipumbavu acha watu wateme nyongo
mwendazake ana kasoro kibao ila hyu Delila amezidi halina huruma na wananchi hta kidogo.