Mchokozi wa mambo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 201
- 160
Hali ni mbaya sana kwakweli tangu makato na tozo mpya zianze tarehe 14/07/2021 kwa wanafunzi wanaoomba vyuo na mikopo ya elimu ya juu na kufanya miamala ya simu kumewaumiza sana ukizingatia mzazi anapambana na kudunduliza mwanae angalau apply chuo. Wanafunzi wengi angalau kulingana na ufaulu inabidi aombe vyuo angalau vitatu ili ajihakikishie nafasi.
Kila chuo kuomba ni Tshs 10000 makato 2320 marambili ya awali au mara nne maana vyuo baadhi ulikuwa unakatwa 1200 au 500... Bunge la Tanzania mnao uwezo kujadili hili suala upya. Mnaumiza sana raia wa kipato chini ambao hawana uwezo kutumia mabenki