Unataka kutuaminisha kuwa bila hizi tozo hakuna maendeleo?HIZI HAPA FAIDA ZA TOZO MPYA KWA WATOTO WA MASIKINI WA NCHI
Tupige moyo konde, najua pesa hakuna,najua mzunguko wa pesa hakuna ila tuwaache wenye pesa wasaidie Taifa lao kwa faida ya watoto wetu kesho.
Tuache harakati kwenye maendeleo ya watu, hayupo Mjomba wala shangazi wakutujengea barabara, shule,Zahanati,Hospitali kwaajili yetu na kwaajili ya watoto wetu na watoto wao ila ni sisi wenyewe.
[Hebu angalia faida za tozo kwenye sekta mbili tu za Afya na Elimu]
1. UJENZI WA VYUMBA 10,000 VYA MADARASA
Tunaweza kujenga shule 2,000 za O'level au shule 2,500 za A'level au Shule 1,428 za kidato cha ( I-VI) au Shule 1,250 za Msingi hii ni sawa na katika kila kata 2 itajengwa shule mpya 1 kwenye kata zote 3,956 au nisawa nakusema katika kila jimbo la uchaguzi kwenye majimbo yote 264 zitajengwa shule mpya 8 za Mama Samia likiwemo Jimbo la kaka yangu, "Thadei Ole Mushi " Nakwarejea tu,Tanzania tuna shule 5,330 tu za sekondari,Shule mpya nikaribu nusu ya shule zote za sekondari zilizowahi kujengwa tangu Uhuru,
Nakama tozo hii itaenda mpaka 2025 Mama Samia atajenga shule mpya zinazofikia 10,000 hii ni sawa na kusema karibu kila kijiji kitakuwa na shule mpya ama ya sekondari ama ya msingi kupitia tozo za e-money.
2. UJENZI WA ZAHANATI MPYA 900
Hyt Rais Magufuli kwa miaka mitano alijenga Zahanati 1,198.Leo Mama Samia kwa kutumia Tozo ya Uzalendo atajenga Zahanati mpya 900 kwa mwaka 1 wa fedha|FY 2021/22.Hii ni sawa na Zahanati mpya 4,500 kwa miaka 5 yaani kila Jimbo zitajengwa Zahati mpya 4 katika kila mwaka wa fedha ni sawa na Zahanati 20 kwa miaka 5 ya kwanza ya Mhe Samia Suluhu na hii ni kwamajimbo yote 264,Kwa lugha rahisi ifikapo 2025 kila kata itakuwa na Zahanati Mpya 2 za Mama Samia,
3. UJENZI WA VITUO 114 VYA AFYA
Hyt Rais Magufuli kwa miaka 5 alikarabati na kujenga jumla ya vituo vya afya 487,Leo Mhe Rais Samia Suluhu kwa kutumia Tozo ya e-money atajenga vituo vipya 114 kwa mwaka 1 sawa na vituo 570 kwa miaka 5 ya awamu ya kwanza,Kwa lugha rahisi mwaka 2025 kila Wilaya itakuwa na Vituo vipya 4 vya afya vya Mama Samia vitakavyohudumia watoto wa masikini
Itaendelea, kazi iendelee...
C&P
Tulipe kodi, mbona sio hela nyingi, tena ukilinganisha na nchi za wenzetu, kodi yetu ya miamala iko chini nitaweka data hapa, watanzania hawana utamaduni wa kutaka kulipa kodi, watumishi wa umma na sector binafsi ndio walipaji wakubwa wa kodi.
Ila wafanya biashara huwa hawataki hata kusikia 1% ya kodi imeongezeka. Watumishi wa umma hulipa hadi 30% ya makato yote ya mshahara. Ila mfanyabiashara akisikia hata 3% ya kodi imeongezeka, ni kelele na hawataki kusikia. Tulipe kodi plz
Kaingia cha kiume....HIZI HAPA FAIDA ZA TOZO MPYA KWA WATOTO WA MASIKINI WA NCHI
Tupige moyo konde, najua pesa hakuna,najua mzunguko wa pesa hakuna ila tuwaache wenye pesa wasaidie Taifa lao kwa faida ya watoto wetu kesho.
Tuache harakati kwenye maendeleo ya watu, hayupo Mjomba wala shangazi wakutujengea barabara, shule,Zahanati,Hospitali kwaajili yetu na kwaajili ya watoto wetu na watoto wao ila ni sisi wenyewe.
[Hebu angalia faida za tozo kwenye sekta mbili tu za Afya na Elimu]
1. UJENZI WA VYUMBA 10,000 VYA MADARASA
Tunaweza kujenga shule 2,000 za O'level au shule 2,500 za A'level au Shule 1,428 za kidato cha ( I-VI) au Shule 1,250 za Msingi hii ni sawa na katika kila kata 2 itajengwa shule mpya 1 kwenye kata zote 3,956 au nisawa nakusema katika kila jimbo la uchaguzi kwenye majimbo yote 264 zitajengwa shule mpya 8 za Mama Samia likiwemo Jimbo la kaka yangu, "Thadei Ole Mushi " Nakwarejea tu,Tanzania tuna shule 5,330 tu za sekondari,Shule mpya nikaribu nusu ya shule zote za sekondari zilizowahi kujengwa tangu Uhuru,
Nakama tozo hii itaenda mpaka 2025 Mama Samia atajenga shule mpya zinazofikia 10,000 hii ni sawa na kusema karibu kila kijiji kitakuwa na shule mpya ama ya sekondari ama ya msingi kupitia tozo za e-money.
2. UJENZI WA ZAHANATI MPYA 900
Hyt Rais Magufuli kwa miaka mitano alijenga Zahanati 1,198.Leo Mama Samia kwa kutumia Tozo ya Uzalendo atajenga Zahanati mpya 900 kwa mwaka 1 wa fedha|FY 2021/22.Hii ni sawa na Zahanati mpya 4,500 kwa miaka 5 yaani kila Jimbo zitajengwa Zahati mpya 4 katika kila mwaka wa fedha ni sawa na Zahanati 20 kwa miaka 5 ya kwanza ya Mhe Samia Suluhu na hii ni kwamajimbo yote 264,Kwa lugha rahisi ifikapo 2025 kila kata itakuwa na Zahanati Mpya 2 za Mama Samia,
3. UJENZI WA VITUO 114 VYA AFYA
Hyt Rais Magufuli kwa miaka 5 alikarabati na kujenga jumla ya vituo vya afya 487,Leo Mhe Rais Samia Suluhu kwa kutumia Tozo ya e-money atajenga vituo vipya 114 kwa mwaka 1 sawa na vituo 570 kwa miaka 5 ya awamu ya kwanza,Kwa lugha rahisi mwaka 2025 kila Wilaya itakuwa na Vituo vipya 4 vya afya vya Mama Samia vitakavyohudumia watoto wa masikini
Itaendelea, kazi iendelee...
C&P
Mungu alisaidie si ndio? Haya endelea kuomba umaskini utaishaBado Watanzania tunahitaji kumwomba Mungu alisaidie Taifa letu!
Acha ujinga ni wajibu wa kudai waoneshe hivyo vitu hapo juu sio kuitikia feelings tuuSiasa mbaya Sana ,ikifika 2024 pesa hizo hizo za wananchi zitafanya kampeni na kununua wapinzani na kuhonga watu .
Sisiem ni ileile mark ma words
Usiwe mjinga kwa miaka 6 iliyopita mfano Magu kajenga vituo vya afya 300 na hospital 60 tuu na hadi anakufa karibu vyote havifanyi Kazi hakuna pesa za umaliziaji.Unataka kutuaminisha kuwa bila hizi tozo hakuna maendeleo?
Kwani waliojenga hizi tulizonazo walitumia hela gani?
Acheni kuwaibia wananchi kwa kusingizia kuwapelekea maendeleo wakati wanalipa kodi lukuki ambazo ndizo zilizotakiwa kuwapelekea hayo maendeleo..
Hizi tozo mpya naita ni unyang'anyi..
Pili zinafanya mzunguko wa miamala kuwa mdogo.
Mzunguko wa miamala ukiwa mdogo maana yake tunaongeza wimbi la ukosefu wa ajira maana mawakala wengi watafunga kwa kukosa wateja.
Miamala sio chakula kuwa lazima watu watakula tu, ni hiari ya mtu kwenda kupoteza hela yake mwenyewe. Hivyo wengi wameamua kusitisha huduma hiyo maana tozo sio rafiki kwa watumiaji.
Tatu makampuni ya simu yatapata hasara ambayo itapelekea serikali kukosa kodi ambazo ilikua inakusanya kutoka kwao. Hii itasababishwa na mzunguko wa miamala kushuka kwa kasi....
Hizi ni hesabu zangu ambaye hata form four sina. Alafu eti tuna waziri, makamu wa raisi na raisi ambao ni wasomi wa uchumi...
Labda uchumi wa maganda ya korosho
HIZI HAPA FAIDA ZA TOZO MPYA KWA WATOTO WA MASIKINI WA NCHI
Tupige moyo konde, najua pesa hakuna,najua mzunguko wa pesa hakuna ila tuwaache wenye pesa wasaidie Taifa lao kwa faida ya watoto wetu kesho.
Tuache harakati kwenye maendeleo ya watu, hayupo Mjomba wala shangazi wakutujengea barabara, shule,Zahanati,Hospitali kwaajili yetu na kwaajili ya watoto wetu na watoto wao ila ni sisi wenyewe.
[Hebu angalia faida za tozo kwenye sekta mbili tu za Afya na Elimu]
1. UJENZI WA VYUMBA 10,000 VYA MADARASA
Tunaweza kujenga shule 2,000 za O'level au shule 2,500 za A'level au Shule 1,428 za kidato cha ( I-VI) au Shule 1,250 za Msingi hii ni sawa na katika kila kata 2 itajengwa shule mpya 1 kwenye kata zote 3,956 au nisawa nakusema katika kila jimbo la uchaguzi kwenye majimbo yote 264 zitajengwa shule mpya 8 za Mama Samia likiwemo Jimbo la kaka yangu, "Thadei Ole Mushi " Nakwarejea tu,Tanzania tuna shule 5,330 tu za sekondari,Shule mpya nikaribu nusu ya shule zote za sekondari zilizowahi kujengwa tangu Uhuru,
Nakama tozo hii itaenda mpaka 2025 Mama Samia atajenga shule mpya zinazofikia 10,000 hii ni sawa na kusema karibu kila kijiji kitakuwa na shule mpya ama ya sekondari ama ya msingi kupitia tozo za e-money.
2. UJENZI WA ZAHANATI MPYA 900
Hyt Rais Magufuli kwa miaka mitano alijenga Zahanati 1,198.Leo Mama Samia kwa kutumia Tozo ya Uzalendo atajenga Zahanati mpya 900 kwa mwaka 1 wa fedha|FY 2021/22.Hii ni sawa na Zahanati mpya 4,500 kwa miaka 5 yaani kila Jimbo zitajengwa Zahati mpya 4 katika kila mwaka wa fedha ni sawa na Zahanati 20 kwa miaka 5 ya kwanza ya Mhe Samia Suluhu na hii ni kwamajimbo yote 264,Kwa lugha rahisi ifikapo 2025 kila kata itakuwa na Zahanati Mpya 2 za Mama Samia,
3. UJENZI WA VITUO 114 VYA AFYA
Hyt Rais Magufuli kwa miaka 5 alikarabati na kujenga jumla ya vituo vya afya 487,Leo Mhe Rais Samia Suluhu kwa kutumia Tozo ya e-money atajenga vituo vipya 114 kwa mwaka 1 sawa na vituo 570 kwa miaka 5 ya awamu ya kwanza,Kwa lugha rahisi mwaka 2025 kila Wilaya itakuwa na Vituo vipya 4 vya afya vya Mama Samia vitakavyohudumia watoto wa masikini
Itaendelea, kazi iendelee...
C&P
Mbona unaongea kinadharia sana . Wanakatwa mamilioni kwenye nn? Kwenye faida wanayoingiza ama kwenye mitaji yao? Ukijua hili utajua nn watu wanalalamikiaKama MO, BAKRESA na GSM watalalamika namimi nitalalamika ila nashanga mtu anakatwa 4,200 analialia hajua hawa matajiri kwa siku wanakatwa mamilioni na hawana kelele, Masikini hana jema.
Shida sio makato shida Magufuli alitupiga kiuchimi balaaaaa, elfu 4,200 inaumaa
Watanzania hawaeleweki juzi walisema tuwapunguzie kodi wawekezaji wanakimbia Leo wao nao wanalalamikia kodi sijui wao watakimbilia nchi gani
Hakuna cha bure, No pain no gain
Shida ya Mwigulu hatoi ufafanuzi mzuri kwa wananchi waelewe kwanini makato sasa.
Unatumia hisia kuniaminisha kuwa kuipa serikali hela zaidi ya inayostahioi kukusanya ndiko kutakakoleta maendeleo.Usiwe mjinga kwa miaka 6 iliyopita mfano Magu kajenga vituo vya afya 300 na hospital 60 tuu na hadi anakufa karibu vyote havifanyi Kazi hakuna pesa za umaliziaji.
Na bado nahitaji mengine kibao kwenye sekta zingine inamaana tukiendelea kujivuta vuta tutafika miaka 100 ya uhuru hakuna cha maana nchi imefaulu si barabara si elimu si afya .
Matokeo yake ni umaskini zaidi kwa wale mbaiwatetea saizi na bahati mbaya hii nchi kasi ya uzazi ni kubwa Sana.Fikiria kwa mfano Mji wa Tunduma una zaidi ya wakazi 200,000 lakini ina kituo cha afya cha serikali 1 tuu huku hospital iliyoanza kujengwa awamu ya mwendazake haijulikan itaanza lini Kazi.
Ukipata changamoto ya Afya usafiri kwenda Wilaya zingine hizo gharama unaziona? Kipi bora hapo kulipa tozo kwa mda Ili kupunguza changamoto au kuendelea kulialia huku ha
Uko tayari kufanyaje?Huyu mama anahesabu kali sana huenda akavunja rekodi kwa ujenzi wa miundombini ya maendeleo kwa wananchi.
Japo makato yanauma ila kama mambo ni haya niko tayari.
Acha ujinga ni wajibu wa kudai waoneshe hivyo vitu hapo juu sio kuitikia feelings tuu
Be free with your opinions ,mwelevu.Acha ujinga ni wajibu wa kudai waoneshe hivyo vitu hapo juu sio kuitikia feelings tuu
Nitumie hisia Ili iweje ,wewe ndio unaongozwa na hisia za kipuuzi ukiwa na mentality ya kipuuzi pia kwamba pesa inaibiwa.Unatumia hisia kuniaminisha kuwa kuipa serikali hela zaidi ya inayostahioi kukusanya ndiko kutakakoleta maendeleo.
Acha nikuulize haya maswali na ninaomba unijibu kwa ufasaha kisha nitakuelewa kuhusu hizi tozo
1. Hela za kununua ndege zilitoka wapi?
2. Hela za kujenga kiwanja cha ndege chato zilitoka wapi?
3. Hela za kununua ma-V8 zinatoka wapi?
4. Hela za posho za wabunge zinatoka wapi?
5. Hela za per diem zinatoka wapi?
6. Hela za kujengea wastaafu nyumba zinatoka wapi.?
Mimi nadhani kama taifa hatuna vipaumbele. Viongozi wapo ili kujinufaisha wao na familia zao. Wala sio eti hakuna hela za kuboresha huduma za muhimu kwa wananchi..
Hapo wameongezea hizo tozo ili wapate hela ambazo hazikusanywi na TRA na hakuna atayehoji imekunywa ngapi. Hapo ndipo watakapo tajirikia.
Umewahi kujiuliza ni nini faida ya
1. Bandari tulizonazo
2. Madini
3. Mlima kilimanjaro
4. Gas ya mtwara
5. Kodi zinazokusanywa kila uchwao
6. Mbuga za wanyama
Na mengine mengi kwa mtanzania wa kawaida?
Kwa taarifa yako, hizo tozo zinaenda kuleta mdororo wa mzunguko wa miamala kiasi kwamba badala ya kupata, watapoteza hata ile VAT waliyokua wanaipata kupitia ada ya miamala.
Watu wa aina yako ndio wanaotoaga ushauri wa kuangamiza taifa kwa kujifanya wajuaji kumbe ni mburula wa mwisho
Sasa mbona sijakuelewa. Kwahiyo kipaumbele chetu ni hayo magali, posho, per diem na huo ushubwada na sio huduma bora kwa wananchi si ndio?Nitumie hisia Ili iweje ,wewe ndio unaongozwa na hisia za kipuuzi ukiwa na mentality ya kipuuzi pia kwamba pesa inaibiwa.
Kwanza lazima uelewe pesa ya kuendeshea Serikali lazima ipatikane iwe ni per diem,salary,sjui posho za wabunge au kununua magari ya serikali lazima popote itakapopatikana hayo ndio mambo ya kwanza Ili ku run serikali na ku restore order.
Pili pesa ya maendeleo ndio haitoshi na ndio inatafutwa kwa vyanzo vingine ikiwamo kodi na tozo nk.
Madini unayotaja wewe yanahitaji wawekezaji kama mnavyowekeza kwingineko na aliyewekeza ndio anapata pakubwa kwa hiyo hujakatazwa kuwekeza ila mtaji huna na kama huna yakiendelea kukaa ardhini ni useless .Kwa taarifa yako tozo za madini yote uyajuayo nchi hii huipatia serikali chini ya bln 600 kwa hiyo usiwe obsessed na kitu madini sio valuable kwa kiwango unachofikilia wewe.
Hizo bandari bila miundombinu ni useless ni sawa tuu na kuwa na madini au mali nyingine ila huna uwezo wa kuvigeuza kuwa pesa au hata ukijitahidi Unapata kiduchu Sana.
Na nchi hii ina watu wengi mnazaana Sana na mahitaji yanakuwa daily kwa hiyo bila kujikamua umaskini utazidi kutamalaki.Na hao unaojifanya kuwatetea huwasaidii ila ndio kwanza watazidi kudidimia kama Serikalini isipochukua hatua kali kama hizi kuwainua hao watu.