Tozo za mabenki ni shida

mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
620
865
Hali wakuu...
1. Unamtoza mteja service charge
2. Unamtoza mteja transaction cost kwa kila muamala anaofanya kupitia ATM or service za ndani ya benk....

Bei ya kutoza mnapanga nyie bila kuweka wazi vigezo... huu ni uonevu.... basi tuambieni service charge ni yanini?

Nangu masikini Mandokwa
 
Hicho cha mtoto,wanakufuata na kukushawishi uchukue mkopo,wanakata processing fees,sijui insurance na bado kuna riba though riba ni muhimu lakini nayo iko juu sana..arrgh!!!
 
hizi bank zinatuibia wanakopa pesa zetu hawatulipi interest halafu wanatukata pesa zetu wakati wanatumia pesa hizo hizo kukopesha na kununua dhamana za serikali
 
Back
Top Bottom