Kuna teacher alijiendeleza enzi za mjomba akatika certificate akapata Degree aliporudi kazini akawaa mwana CCM haswa hakukawia saivi ni Mkuu wa shule na anakula pesa nzuri tu, Wakati kuna watu walijiendeleza kabla yake mpaka leo wanakula msoto wa certificateile Card ni Zaid ya Green papers za ubalozi... Ukiwa nayo wanakuzingatia Sasa huu si ubaguzi huu
Mwalimu aliiacha Tz ikiwa na raia milion 9 tu na huku akipitia majaribio matatu ya kupinduliwa.Na jaribio la mwisho kabisa likifanyika miaka ya 90 chini ya kina Zakaria Hensipope.Hii ndio Tanzania aloiacha Mwalim, Alipaswa kufanya mapinduzi makubwa sana ya kikatiba akiwa bafo yupo Madarakani.
Kweli lakini hua najiuliza hili swali Mwalimu hakuwahi kuona mapungufu ya hii katiba enzi akiwa madarakani? Kwanini hakufanya mabadiliko mapema au nae alinogewa na kiti kama walevi wa sasa wasivyotaka kuruhusu mabadiliko?Mwalimu aliiacha Tz ikiwa na raia milion 9 tu na huku akipitia majaribio matatu ya kupinduliwa.Na jaribio la mwisho kabisa likifanyika miaka ya 90 chini ya kina Zakaria Hensipope.
Huo mwalimu chini ya nchi yenye raia milion 60+ siangekula shaba kabisa!?.
KILA KITABU NA ZAMA ZAKE.
Salaaam sana wakuu.
Vituo vya Afya;
Vingine vya kitambo Baba wa Taifa kaviacha, navyo vipya hivyo?
Vingi kavijenga mjomba, navyo vipya hivyo?
Vichache wameongeza jengo tu, navyo vipya hivyo?
Nitajie kituo cha afya kimoja tu mtaani kwao unachojua tumepigwa, usisahau kunitajia na kipya ambacho wamefanya kweli.
(Soma kwenye list)View attachment 2347868View attachment 2347871View attachment 2347873View attachment 2347874View attachment 2347876View attachment 2347877View attachment 2347879View attachment 2347880View attachment 2347881
Huyo Mwalimu wako alikaa madarakani miaka 25,aliondoka kwa aibu baada ya kushindwa kwenye uchumi 😁😁Kweli lakini hua najiuliza hili swali Mwalimu hakuwahi kuona mapungufu ya hii katiba enzi akiwa madarakani? Kwanini hakufanya mabadiliko mapema au nae alinogewa na kiti kama walevi wa sasa wasivyotaka kuruhusu mabadiliko?
Dua la kukuDuuh.
Sasaaa zile pesa za covid.
Mikopo WB si mlituambia kuwa zilifanya kazi hizi hizi??
Kwanini mtudanganye lakini.
Hamjui kuwa hayo madaraka yenu ni ya muda tu??
Mtakuja umbuka na msiamini yatayowapata.
Kwahiyo kodi zingine siku hizi mna kusanya za Kampeni? Zenyewe hazifanyi miradi? Kila mradi pambio tozo. Yaani mna halalisha wizi wenu huku madini yetu yaki puputikia Ulaya!!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji9][emoji24][emoji24]Salaaam sana wakuu.
Vituo vya Afya;
Vingine vya kitambo Baba wa Taifa kaviacha, navyo vipya hivyo?
Vingi kavijenga mjomba, navyo vipya hivyo?
Vichache wameongeza jengo tu, navyo vipya hivyo?
Nitajie kituo cha afya kimoja tu mtaani kwao unachojua tumepigwa, usisahau kunitajia na kipya ambacho wamefanya kweli.
(Soma kwenye list)View attachment 2347868View attachment 2347871View attachment 2347873View attachment 2347874View attachment 2347876View attachment 2347877View attachment 2347879View attachment 2347880View attachment 2347881
Na hata alipokwisha kulamba asali alibwabwaja Ovyo, kuna shida hapa.kwa maendeleo haya tunayo yaona kila kona ya nchi yetu.
sisi wananchi tumeridhika kulipa Tozo bila kusita.
wote wanao pinga tozo ni wachawi wa maendeleo.
wachawi kwenye mambo mazuri huwa hawakosekani,
tabia ya mchawi/wachawi huwa hawapendi kuona maendeleo.
wachawi ni watu wenye roho mbaya, roho ya choyo, lengo la wachawi ni kuona kila mtu anaishi kwenye dhiki na shida/maisha duni.
wapinga tozo ni wachawi.
Wanafaidi sana hao Mbwa, Afu cha ajabu kuna wapambe wao humu ndani.Kama karibia kila kitu kinafanywa na tozo, je kodi zinafanya nini? Madarasa yanajengwa na tozo, vituo vya afya vinajengwa na tozo, barabara bijijini zinajengwa na tozo, n.k.; nasi wapunguze kodi tubakie na tozo maana kazi ya kodi inaonekana ni kidogo sana. Au sasa hivi kodi inatumika kilipana mishahara, kununua V8 na posho tu?
Hata wewe!!!!Duuh.
Sasaaa zile pesa za covid.
Mikopo WB si mlituambia kuwa zilifanya kazi hizi hizi??
Kwanini mtudanganye lakini.
Hamjui kuwa hayo madaraka yenu ni ya muda tu??
Mtakuja umbuka na msiamini yatayowapata.
wewe sio raia, au utakuwa miongoni mwa lile "genge la kigaidi"..Na hata alipokwisha kulamba asali alibwabwaja Ovyo, kuna shida hapa.
Kawasikilize baba zako CCM nao wameuona ufisadi wa watendaji wao kupitia tozo, wewe ni nani hata utetee upumbavu?wewe sio raia, au utakuwa miongoni mwa lile "genge la kigaidi"..
Mwarabu nani! Samia ndio mwarabu?Jiwe amka baba yetu huku tunapigwa. Waarabu wameteka serikali