ngoshamaguzu
Member
- Jul 12, 2020
- 25
- 44
Habari za miangaiko wadau,
Ngoja nijikite moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Leo katika pitapita zangu nikakutana na hii inshu ya gharama mpya za kutoa pesa na ada ya mwaka ya kwenye a/c ya Nmb zimeongezeka. Binafsi sijapata ujumbe wowote kama walivyofanya mitandao ya simu kutujuza ongezeko hilo.
Hivyo basi tungeomba japo kujulishwa tu hata kwa taarifa. Ama kweli hii ndo mikakati yakutufanya tuhamie burundi. Naomba kuwasilisha