steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,677
- 14,007
Wakuu eehh,nipo ktk mchakato wa kununua usafiri fulani hv huo niliutaja hapo juu ktk tittle. Nataka kufanyia biashara ya kubebea watoto wa shule hasa chekechea.Naombeni mniambie uzuri na ubaya wa hili gari ili kabla sijaliagizia nisije kujuta wakati kuna wataalamu w​enye kujua magari haya