Jamani habari zenu. Ningependa kujua, kwa anayejua, bei za magari yafuatayo pale toyota dar es salaam: Toyota landcruise VX V8, GX V8 na Prado zote za model ya 2011. Mi niko nje ya nchi so sijui bei zake manaake nataka kununua gari hivi karibuni. Napenda kuhamasisha watanzania tununue magari mapya nasi tuwe poa sio kununua used cars kila wakati. Kwa anayejua tafadhali.
Asante
Mkuu this is ridiculous.
Unajua kipato Cha Mtanzania wa kawaida?
Unajua Bei ya gari mpya kweli wewe?
Wewe umetaka tu Kuleta ujumbe kuwa watanzania tununue magari mapya, Sidhani kwamba unataka tukupe Bei.
Kwani huwezi google Toyota Tanzania.
Makabila mengine taabu tupu
Jamani habari zenu. Ningependa kujua, kwa anayejua, bei za magari yafuatayo pale toyota dar es salaam: Toyota landcruise VX V8, GX V8 na Prado zote za model ya 2011. Mi niko nje ya nchi so sijui bei zake manaake nataka kununua gari hivi karibuni. Napenda kuhamasisha watanzania tununue magari mapya nasi tuwe poa sio kununua used cars kila wakati. Kwa anayejua tafadhali.
Asante
Jamani habari zenu. Ningependa kujua, kwa anayejua, bei za magari yafuatayo pale toyota dar es salaam: Toyota landcruise VX V8, GX V8 na Prado zote za model ya 2011. Mi niko nje ya nchi so sijui bei zake manaake nataka kununua gari hivi karibuni. Napenda kuhamasisha watanzania tununue magari mapya nasi tuwe poa sio kununua used cars kila wakati. Kwa anayejua tafadhali.
Asante
Are you for real?? Hivi unafikiri watu wanapenda kununua magari mtumba? Just because upo "nje ya nchi" na kazi yako unoyoifanya haimanishi waTanzania wote wana uwezo huo. Ulipokuwa nyumbani Tanzania uliwahi nunua gari mpya? Hebu acha madharau yako!!
Sasa c anataka ajue bei ili ajue ajipange vipi mkuu..!Kama we unapenda magari mapya si uje ununue tu ununue tu unataka bei za nini
Mkuu wapigie namba zao hizi:
[h=1]Toyota Tanzania Ltd.[/h]NO.5 NYERERE ROAD
P.O.BOX 9060
DAR ES SALAAM, TANZANIA
TEL255) 22 2866353-8, 2866815-9
FAX255) 22 2866814, 2112987
[h=1]Contact List[/h]
Jamani habari zenu. Ningependa kujua, kwa anayejua, bei za magari yafuatayo pale toyota dar es salaam: Toyota landcruise VX V8, GX V8 na Prado zote za model ya 2011. Mi niko nje ya nchi so sijui bei zake manaake nataka kununua gari hivi karibuni. Napenda kuhamasisha watanzania tununue magari mapya nasi tuwe poa sio kununua used cars kila wakati. Kwa anayejua tafadhali.
Asante
well spoken, kujipanga ujipange haswa !!! Toyota VX V8 200, bila kodi ndani ya nailoni 175 mil Tsh, Prado TX ya kawaida bila manjonjo 135 mil Tsh, Prado Tx (executive) 147 mil. hapo bila kodi zote hizo. sasa ukiinclude na kodi sasa ni habari nyingine, unless otherwise you are about to purchase kwa ajili ya matumizi ambayo yana msamaha wa baadhi ya kodi.Jamani habari zenu. Ningependa kujua, kwa anayejua, bei za magari yafuatayo pale toyota dar es salaam: Toyota landcruise VX V8, GX V8 na Prado zote za model ya 2011. Mi niko nje ya nchi so sijui bei zake manaake nataka kununua gari hivi karibuni. Napenda kuhamasisha watanzania tununue magari mapya nasi tuwe poa sio kununua used cars kila wakati. Kwa anayejua tafadhali.
Asante
Rizwan sikia Hiyo Mifano yako imekaa kimagamba gamba (Msukule) umetumwa wewe!Babu ondoa hiyo negativity kichwani mwako. Hilo ndo tatizo lako inferiority complex imekukamata. Huamini kwamba hata wewe ipo siku ukijituma unaweza kununua gari mpya. BTW Toyota Tanzania website hawajaweka bei. Napohamasisha watu kununua magarimapya maana yangu ni kwamba WENYE UWEZO na hata ambao hawana uwezo wakifanya kazi kwa BIDII na KUJITUMA wanaweza kufanya hivyo. Na sio kwamba naulizia tu bei, ni kwamba nataka kununua gari jipya.