Toyota Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by changman, Sep 22, 2011.

 1. c

  changman JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani habari zenu. Ningependa kujua, kwa anayejua, bei za magari yafuatayo pale toyota dar es salaam: Toyota landcruise VX V8, GX V8 na Prado zote za model ya 2011. Mi niko nje ya nchi so sijui bei zake manaake nataka kununua gari hivi karibuni. Napenda kuhamasisha watanzania tununue magari mapya nasi tuwe poa sio kununua used cars kila wakati. Kwa anayejua tafadhali.

  Asante
   
 2. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kama we unapenda magari mapya si uje ununue tu ununue tu unataka bei za nini
   
 3. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mkuu mie na wenzangu tunajua bei ya used tu hayo mapya tumewaachia serikali na moibei yao mara milioni 300, milioni 700 kazi kuchakachua kodi zetu. Pambaf
   
 4. c

  changman JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni vizuri kujua bei ili kupanga bajeti.
   
 5. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Mkuu this is ridiculous.

  Unajua kipato Cha Mtanzania wa kawaida?

  Unajua Bei ya gari mpya kweli wewe?

  Wewe umetaka tu Kuleta ujumbe kuwa watanzania tununue magari mapya, Sidhani kwamba unataka tukupe Bei.

  Kwani huwezi google Toyota Tanzania.

  Makabila mengine taabu tupu
   
 6. c

  changman JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Babu ondoa hiyo negativity kichwani mwako. Hilo ndo tatizo lako inferiority complex imekukamata. Huamini kwamba hata wewe ipo siku ukijituma unaweza kununua gari mpya. BTW Toyota Tanzania website hawajaweka bei. Napohamasisha watu kununua magarimapya maana yangu ni kwamba WENYE UWEZO na hata ambao hawana uwezo wakifanya kazi kwa BIDII na KUJITUMA wanaweza kufanya hivyo. Na sio kwamba naulizia tu bei, ni kwamba nataka kununua gari jipya.
   
 7. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa nini usiweke order Japan mojakwa moja kuliko kununua Toyota Tz? Ukiweka order Tz unaweza kuchukua mwaka bila kupata gari
   
 8. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mkuu hilo swala lako linaleta kigugumizi kwa wachangiaji wengi ni kwa kuwa financial system zetu hazifanyi kazi. hata kwa nchi zilizoendelea si kawaida kukuta mtu anatembea na gunia la pesa au kuwa na pesa taslim kununua gari. Hayo mambo yooote yanafanyika kupitia benki, wewe kazi yako kuwalipa hata kwa zaidi ya miaka 5 kulingana na kipato chako na tamaa zako. Ndo maana kumkuta meneja anamiliki Mercedese E class na mhudumu kuwa nyo siyo kitendo kigeni. Hapa bongo ukizungumzuza kununua gari maana yake tunazungumzia kuwa nacash ndo maana hata kutembelea Toyota ni kazi ngumu ndo maana tunaishia mitaa ya Lumumba ambako tunaweza. 30 milioni na kushuka chini
   
 9. A

  Albimany JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mkuu wapigie namba zao hizi:

  [h=1]Toyota Tanzania Ltd.[/h]NO.5 NYERERE ROAD
  P.O.BOX 9060
  DAR ES SALAAM, TANZANIA
  TEL:(255) 22 2866353-8, 2866815-9
  FAX:(255) 22 2866814, 2112987


  [h=1]Contact List[/h]
   
 10. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Are you for real?? Hivi unafikiri watu wanapenda kununua magari mtumba? Just because upo "nje ya nchi" na kazi yako unoyoifanya haimanishi waTanzania wote wana uwezo huo. Ulipokuwa nyumbani Tanzania uliwahi nunua gari mpya? Hebu acha madharau yako!!
   
 11. c

  changman JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Lol! watu wengine bwana sasa dharau ziko wapi hapo!!! Kuhamasisha watu wajitume na kusave hela na kununua magari mapya ni kuwadharau watu!!!!!!!!!! Kweli bongo tuna njia ndefu sana ya kufikia maendeleo!
   
 12. Ellie

  Ellie Senior Member

  #12
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa c anataka ajue bei ili ajue ajipange vipi mkuu..!
   
 13. Ellie

  Ellie Senior Member

  #13
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaniee apewe bei kama kuna mtu anajua ishu ni kwamba mwenye uwezo atanunua ,ishu hapa ni kusaidiana so it doesn't make any sense for you guys to keep on blaming Mr. Changman kwa ku seek information.
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  na akishajibiwa ajakutujuza sio ale kona..
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red ndo umeharibu mkuu,mbona na wewe upo nje unaendeleza nchi ya watu na hamna mtu aliyekwambia..Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake,gari used kutoka japani ya mwaka 2003 ni nzuri kuliko gari ya 2010 ilionunuliwa tanzania(For the same brand)

   
 16. Kimolah

  Kimolah JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  well spoken, kujipanga ujipange haswa !!! Toyota VX V8 200, bila kodi ndani ya nailoni 175 mil Tsh, Prado TX ya kawaida bila manjonjo 135 mil Tsh, Prado Tx (executive) 147 mil. hapo bila kodi zote hizo. sasa ukiinclude na kodi sasa ni habari nyingine, unless otherwise you are about to purchase kwa ajili ya matumizi ambayo yana msamaha wa baadhi ya kodi.
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Rizwan sikia Hiyo Mifano yako imekaa kimagamba gamba (Msukule) umetumwa wewe!

  Watu wasio na uwezo wapo wengi sana tanzania hii hata Kikwete haelewi kwanini, wewe upo nje unataka watu wafanye kazi kwa bidii zipi?
  kazi za Tz kuanzia saa kumi na mbili Mornie hadi giza lianze kuingia kipato ni chini ya dola moja sasa kununua gari mpya tujuavyo si chini ya 20,000 usd labda Tata ile ndogo india wanauza 2500 usd ikifika bongo ni 5000 hadi sita hicho kipato cha chini ya dola moja akikusanye kwa muda wa miaka mingapi aache kula ili anunue gari mpya ? dah sipati picha Watanzania 75% Ni Misukule Nimeamini...

  Pesa zinawawasha wakopesheni hao wasio na uwezo wanunue gari Mpya!
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Pesa za bongo ujipange mh! utakuwa mwizi tu wewe Nyerere aliwatamani sana watu kama hawa ajue wanapata vipi pesa
   
 19. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Huyu nadhani anafanya utani au kuna kitu anataka kukichokonoa, inawezekanaje uzungumzie Toyota Dar-Es-Salaam ( nadhani alitaka kuzungumzia International Motor Mart) ambao ni dealers wa TOYOTA Tanzania, swali ni kwa nini asiwaulize moja kwa moja kama yuko serious, au akatembelea website yao, nani kakwambia kwamba kila mtu aliye nje ya Tanzania ana uwezo wa kununua gari jipya, hata wenyeji wa huko ni wachache wenye uwezo wa kununua magari mapya, au unataka kutueleza kwamba huko hakuna watu maskini, watu wa daraja la kati na wachache matajiri wa kupindukia. Sijuhi kama wa Tanzania wanahitaji somo katika ununuzi wa magari, kila mtu atakula pale mkono wake unapofikia na hili si kwa wa Tanzania peke yake bali dunia nzima. Kama wewe ni muhuza magari I think your suggestion is unhelpful na actually maoni yako yako- laced kwa mbali na trait ya ku-patronize binadamu wenzio, hii haifahi hata kidogo.
   
 20. M

  MafiaIsland2015 Member

  #20
  Sep 23, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gari milioni mia 200?
   
Loading...