Toyota pick up for sale

Toyota pick up for sale

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
52
Gari Inauzwa Toyota Hilux Pick Up

Ina Music wa kufa mtu
Rangi Blue Metalik
T 635 AGF
KM 45900
Warranty: 3yrs
Bei Tunaanza na 20 M Maongezi yapo

Wasiliana nasi: 0713669533 au 0756487362

NB: IPO SOKONI UTANI WEKA PEMBENI
 
weka mapicha, hayo maneno hayana ladha kwenye hii biashara
 
Gari ya kazi unatanguliza kuisifia muziki? Sema lifts chake kikoje, imetengezwa mwaka gani na picha za kuanzia.
 
Gari ya kazi unatanguliza kuisifia muziki? Sema lifts chake kikoje, imetengezwa mwaka gani na picha za kuanzia maana hzo mamba na odo reading....!
 
Gari Inauzwa Toyota Hilux Pick Up

Ina Music wa kufa mtu
Rangi Blue Metalik
T 635 AGF
KM 45900
Warranty: 3yrs
Bei Tunaanza na 20 M Maongezi yapo

Wasiliana nasi: 0713669533 au 0756487362

NB: IPO SOKONI UTANI WEKA PEMBENI

Ondoa music wako na warranty ambayo siyo kweli, gari yenyewe hakuna picha chukua 6,000,000.00 nitakulipa kwa awamu tatu kwa miezi sita.
 
Gari Inauzwa Toyota Hilux Pick Up

Ina Music wa kufa mtu
Rangi Blue Metalik
T 635 AGF
KM 45900
Warranty: 3yrs
Bei Tunaanza na 20 M Maongezi yapo

Wasiliana nasi: 0713669533 au 0756487362

NB: IPO SOKONI UTANI WEKA PEMBENI

Tangazo gani hili unauza computer unatupa warranty? tangazo lako ni la mzaha mno.
 
Wee ndo unatania, unadhan kwa maelezo m2 atakubal kukupa hata 5Mil..!?
 
Gari pickup mziki wa kufa mtu unakaa wapi bana?
 
Achana na mapapai yako bana..........Ni kama hii? Kama sio hii basi bwana

toyota-hilux-id-4597087-type-main.jpeg
 
Tangazo la mwisho kwa anayetaka kuiona tuwasiliane kwasasa imerudi safari ilienda mwanza imerudi ipo oilcom vetenari pale inaoshwa anayetaka aende pale kwasasa kuna mtu bila hivyo nitaiweka yard pale magomeni mtaiona pale u fire. Asanteni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom