Toyota IST imeniangusha sana



Niwapo barabarani baada ya kuhakiki usalama wa nnapopita na nnakoelekea, ndani ya chombo changu ni mimi na mziki.

Hulka yangu na huyo dada ni asilimia 500. Hivyo wanaoniovateki hawanisumbui hata.

K Matata.
 
Back
Top Bottom