Toyota Carina Ti inauzwa

Toyota Carina Ti inauzwa

whats up Jf memb[emoji1]r
1. Nauza gari yenye maelezo yafuatayo
a. Jina : Toyota
b. Model : Carina Ti
c. Muundo : Saloon
d. Ukubwa wa injini: 1500
e. Rangi : nyeupe
g. Mfumo: moja kwa moja
h. Mwaka wa kutengenezwa: 2000

2. Vibali
Vibali vyote vipo hai

3. Hali ya gari
Gari ina hali nzuri sana

4. Mahali ilipo
Dar Es Salaam

5. Bei
Tsh 8.5mil, uwanja wa mazungumzo upo wazi

4. Mawasiliano
Simu: 0765363641 au 0659211222
Barua pepe: biasharaTz@outlook.com

Picha
View attachment 338671
View attachment 338672View attachment 338673View attachment 338674
Swali wakati mwingine hujibiwa kwa swali.
Nadhani ulifeli shule ww!! KILA SWALI LINA MAJIBU!! TOA UJINGA HAPA. HUNA JIBU TULIA

Ni saloon the car sasa kwa nini unauliza idadi ya milango
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom