Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,020
Ingia Be forward au autowin, uelimike. Mnaendesha magari mkijifanya mnajua huku weupe kichwaniHujui kitu, kaa pembeni mwenzio afanye biashara!
Ingia Be forward au autowin, uelimike. Mnaendesha magari mkijifanya mnajua huku weupe kichwaniHujui kitu, kaa pembeni mwenzio afanye biashara!
Mkuu asante kwa kuonyesha nia njema ya kuhitaji kipando hiki. Ofa uliyosema sio ndogo lakini thamani ya kipando hiki ni kubwa kuliko ofa yako. Ongeza amana yako, hakika hautajutiamkuu nakupa 6ml km upo tayari nicheki +243 999 372777 wtsp tuongee
Ingia Be forward au autowin, uelimike. Mnaendesha magari mkijifanya mnajua huku weupe kichwani
Hahahah,aiseee,usije kuuliza kama ina trailer4 doors au 5 doors?
Huu ndo mfano wa Tangazo linalotakiwa JF ,Full details zinaonekanawhats up Jf memb[emoji1]r
1. Nauza gari yenye maelezo yafuatayo
a. Jina : Toyota
b. Model : Carina Ti
c. Muundo : Saloon
d. Ukubwa wa injini: 1500
e. Rangi : nyeupe
g. Mfumo: moja kwa moja
h. Mwaka wa kutengenezwa: 2000
2. Vibali
Vibali vyote vipo hai
3. Hali ya gari
Gari ina hali nzuri sana
4. Mahali ilipo
Dar Es Salaam
5. Bei
Tsh 8.5mil, uwanja wa mazungumzo upo wazi
4. Mawasiliano
Simu: 0765363641 au 0659211222
Barua pepe: biasharaTz@outlook.com
Picha
View attachment 338671
View attachment 338672View attachment 338673View attachment 338674
....a thug leavin outta prison whistlin in the air!Hahahah,aiseee,usije kuuliza kama ina trailer
LABDA NA MLANGO WA BUTIKuna saloon yenye milango 5 mkuu?!
6 passengers inaweza kuwa gari ya milango mingapi?Hata dictionary uliyoileta mwenyewe hakuna ilipoandika saloon ina option ya milango mitano!!!
6 passengers inaweza kuwa gari ya milango mingapi?
unafahamu milango ya gari inavyo hesabiwa au unakurupuka tu?We jamaa vipi? Wewe mwenyewe umesema six passengers halafu unaniuliza inaweza kuwa na milango mingapi!!! Acha kuruka ruka onyesha hapa sedan ya milango mitano
Hivi
unafahamu milango ya gari inavyo hesabiwa au unakurupuka tu?
Atakuwa anahesabu na buti!Nimemweleza lakini inaelekea amekariri kwa hiyo hakubali kuwa saloon haiwezi kuwa na milango mitano
Huyu jamaa kichwa yake iko na maji ya nazi..!!!Atakuwa anahesabu na buti!
Dogo unajitia aibu bila soni. Kauka ushachemka...Hivi
unafahamu milango ya gari inavyo hesabiwa au unakurupuka tu?
Hahahah kwa lugha nyepesi tunasema akili ya dafuHuyu jamaa kichwa yake iko na maji ya nazi..!!!