Tovuti ya Mikito

Tovuti ya Mikito

Jamani hands down..Ruge is a Genius
Mofo...Huyu nshomile kweli yuko creative..haya wakati mkilalamika na kuangaika yeye hutumia good marketing skills ambazo pia kasomea..anawaibia behind the scenes sasa mkito ni project ambayo Ruge hau clouds iko fully involved..
Na ukichek wasanii ambao wako signed 99.5% ni THT..including Dangote aka Platnumz ambaye yuko signed and management by Ruge..and not babu tale na wengine kama wanavyozuga..inshort Tale and em all do the dirty job..the man behind signs and laughs all the way to the bank..all these us meetings za Dangote,kumeet mr President,all major endorsement ni Ruge..haya sasa wale wanaoendelea kuiponda clouds na kusema jamaa mnyonyaji wasubiri sana.

Naona unauliza na kujijibu at the same time,,,kweli Ushabiki na mahaba sio mchezo!!
 
Mkuu LBG with due respect,una uhusiano na LBTG??!!

Nauliza tu ila kama huna basi tafakari kuachana na hiyo id yako,kiroho safi tu Mkuu kwani iko very close na mambo tata!!

Hapani nina Uhusiano na Lloyds Bank Group.

attachment.php

View attachment 173877
 
Zamaradi ndiye anayepagawa sana kuhusu Rugay. Hata akimwona kasimama na MARTIN KADINDA,anakuwa na wivu kwamba usingizi wake utachukuliwa.


Zama hana akili timamu kwani huwezi kuzaa na Ruge kama una akili timamu. I know the guy very well.
 
Back
Top Bottom