Tovuti ya CHADEMA haipo hewani!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tovuti ya CHADEMA haipo hewani!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by EMT, Oct 3, 2010.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Haya. Tovuti ya Chadema haipo hewani. Sishangai nikiambiwa ime-crush kwa sababu ya traffic au CCM wamei-hack! Dr Slaa yuko kwenye kampeni akihamasisha pamoja na mambo mengine teknologia wakati tovuti ya chama chake ndio hivyo tena. Kazi kweli kweli.
   
 2. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani ndugu Website kuwa chini ni jambo la ajabu??? Kumbuka website kama website inakuwa hosted na certain company ambayo CHADEMA watakuwa wameingia nayo mkataba, na any event kama hiyo hao maclient ndo watashugulikia. ulichotaka kuwaaminisha watu kuwa CHADEMA ni wazembe hizo critics zako hazina maana.

  Kwa taarifa tu hata Website ya Bunge ilishawahi kuwa hacked, hata hiyo ya serikali kuna siku huwa down, hata hao google wenyewe walishawahi kuwa hacked..
  So, stop porojoporojo bana!!! kwani website ya CCM/CUF ni zipi vile???
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mpe shule ya mambo ya internet
   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Yale yale. Kwa vile A ilishakuwa hivi basi B ana haki ya kuwa hivyo. Wabongo?? The fact is simple. Tovuti ya Chadema haipo hewani. No statement has been made about this. Basi kwa vile ya Bunge ilishakuwa down basi na ya chadema iko entitled kuwa down? What a comparison is that? Kwa maana hiyo basi it means Chadema has got nothing new in the backet as far as technology is concerned. Eti "kwani website ya CCM/CUF ni zipi vile?" Very poor thinking!!
   
 5. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Only if s/he know what is talking about. Was debating with a friend from Kenya that in Tanzania we have got the strongest opposition in this election and in Chadema, they have a a very good election manifesto. He wanted to see the manifesto, so went to chadema website to dowload it only to find that the website is not there. The Kenyan just said "No Comment" in a funny way. That was embarrasment. Then, when I want to know why the site is down, I am told mie mamluki.
   
 6. Mtoka Mbali

  Mtoka Mbali JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tafadhali naombeni mtu yeyote anayejua website ya Chadema anipatie.
  Natanguliza shukrani zangu za dhati.
   
 7. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kama una shida na manifesto si iko hapa JF jamani? Hata hivyo Chadema walisema website yao iko katika matengenezo na itakuwa hewani karibuni. Ni jambo la kawaida tu host wao analishughulikia Swali jingine?
   
 9. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Swali lingine? Well Kwani Jamii Forum ni official site ya Chadema? Wee vipi?
   
 10. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Jibu mbona rahisi tu!
  JF sio official website ya Chadema. JF imekuwepo long time ago before chadema got popularity. That time vyama maarufu vilikuwa ni CUF na TLP na NCCR Mageuzi.

  Sema kwa bahati mbaya au nzuri wanachama na wapenzi wengi wa JF wanadhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chadema. Na hii ni kutokana na maoni wayatoayo dhidi ya CCM.

  JF ni huru kwa kila mtu kuchangia, kinachokatazwa ni kumtusi mtu. Kuhusisha JF na Chadema mie kwa mtazamo wangu nadhani ni makosa.

  ***********************************************
  USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO
  ***********************************************

  Usiiache CCM kwani hiyo ni mbachao yako, CHADEMA, CUF, TLP, NCCR MAGEUZI na vyama vengine ni MISALA IPITAYO TU.

  Mind, CCM ni :first:

  :welcome:, unashangaa nini???? Ukitaka karibu kwa hiyo WELCOME au ka hutaki nenda kwa hiyo wave ya GOODBYE
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Umeeleza ukweli lakini ukasahau kuwa sisi m ni mufilisi. You have nice ideas but you still supports those thugs na wewe sasa utaonekana kama wao.

  Ndege wa aina moja huruka pamoja bana.
   
 12. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  "....wanachama na wapenzi wengi wa JF wanadhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chadema." Wanadhaniwa au ni wafuasia wa CHADEMA?

  Halafu website ha CHADEMA bado haipo hewani.
   
 13. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  acha uongo, mbona iko online?
   
Loading...