Ni nzuli tena kwa lugha zote mbili kiingereza na kiswahili.
Changa moto (ama angalizo) iliyopo ni iwe inafanyiwa updates mara kwa mara,isije ikatelekezwa, maana hili ni tatizo la website nyingi za serikali na wizara tofauti tofauti, kutofanyiwa updates mara kwa mara na kwa wakati .
Japo inaonekana nzuri lakini tofauti hizi hapa wahusika wazirekebishe: ZABUNİ inapaswa iwe ZABUNI, AJİRA inapaswa iwe AJIRA, MATUKİO iwe MATUKIO na halikadhalika WASİFU iwe WASIFU. Nadhani herufi I, kwa Kiswahili na pia Kingereza inakua na nukta endapo tu iko katika herufi ndogo (lower case) na si katika hali ya u-herufi kubwa (Capital letter). Ingawa inakuwa hivyo katika baadhi ya lugha kama Kituruki.
Kwa kweli wamejitahidi sana hata dispensari zipo na shule za msingi hata Mahakama za mwanzo ila wametumia google map. Shida ni kwamba address za dispensari ni za ukweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.