Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,738
- Thread starter
- #21
arifu hawa viumbe bana....hata ile kuwaangalia inatia raha na kupunguza stress.....Mtu unasifia miguu,wezere au hips hivi unavitumiaje vitu hvyo??
Nawachukia sana hawa watu.....siku moja jamaa akawa anamsafisha miguuu na kumpaka rangi shori wangu....aisee niligombana nae nikampaka mwenyewe rangi watu walicheka sana......wana mbinu mbaya sana wale......kama majuzi nimepita kule nyuma wapo kibao nimemkuta dada kajiachiaaa weee jamaa anamsafisha miguu....dada full raha kaacha kila kitu wazi kwa kutekenywa tekenywa miguu na jamaa pale chini anakula deo mali za tu.....shori wangu nampaka rangi mwenyewePale kuna totoz ukweli halafu pale si unajua kuna wale waosha miguu na wapaka rangi...nguo bwerere pale....totoz zinatoka ustawi na UD...Zinapita pale...
Pale wanatumia kama hub kwenda sehemu zingine za mji na kupata mahitaji yao...