Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,738
Aiseeee wakuu pale Mwenge mbona bruuuudani sana....mida ya majioni jioni hivi saa kumi mpaka saa 2usiku wewe katika katiza pale mwenge stand mamaaaa kuna totozi balaa....sijui wanatokaga na kwenda wapi.....
afu sasa timing nyingine leo si ijumaa? basi kesho j'mosi wewe weka makazi kabisa pale...aisee wale watoto sijui wamejiumba wenyewe....yaani unakutana na toto limeumbika kweli kweli alafu network available.....unakuta totozi wezere lipo,sura weweee,shape mamaaaa aisee alafu sasa na zile nguzo za buku 2 za pale mwenge zinawakaa vema sana.....