emaaaaaaaaaaaaaaaa hhahahahah gooooo hahaha offside haaaaaa huyu ema matata sana ahahhahahahahahah emaaaaaa. Hahahah yanga wanataka kufanya mabadiliko sasa hivi
Kama wangekuwa wanancheza na simba nina uhakika hizo bao mbili zingerudi na mechi kuisha kwa droo.
toto wametulia huyu bonge la mtu mohamedi hussein anawasumbua sana hawa mabeki wa yanga pande la mtu hili .. Hahahha piga haoo pigaa toto nipeni goli mbili tena. Zitupieni katikati ya mabeki wa yanga watamalizia wenyewe hahaha. Totoooo
kwa hiyo lilikua goli la ngapi hilo na huyo ema ni timu gani..
Mbona kama ni ule msemo adui yako muombe njaa!
hivi toto african akitoa droo mtafanyaje?
Umeoteshwa lini?
Tayari ushaipata hiyo raha ulokuwa unaitafuta? loltoto nipeni rahhhhaaa
yanga wanapata kagoli ka tatu dk ya 25 kafunga.....
Unajua ndoto za alinacha?? Hahah good dreams kaka. Jipe moyo kabla ligi haijaisha . Na msimu huu tunabeba ndoo mapemaa kama huamini muulize Crashwise
Endeleeni kujifariji.
Mnatumia baiskeli ya fito - tutawakamata na kuwaweka kando kama tulivyofanya 2010-2011!!
Ema ni wa timu ya toto afrika..basi nikiwataja majina nitakuwa nasema na timu zao kaka ili kuepusha mkanganyo si unajua tena ligi yetu hii kazi sana kuwajua wachezaji wote