Toroli la hela!

Filipo

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
9,347
Reaction score
5,555
Sijui kagizwa apeleke wapi!?
 

Attachments

  • Hela.jpg
    18.1 KB · Views: 81
anenda kumwaga jalalni ka sikosei mana nchi ka zimbabwe unaeza kuta hizo zote ni sawa na sh 5000 ya bongo
 
Pesa yote hiyo anakwenda kununua friji tu. Na bado aitoshi
 
Anaenda sokoni kununua nyanya mafungu mawili
 
anampelekea ridhi1, mgao ni amri kutoka magogoni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…