Topic Tata-Mwanaume kumchungulia Mwanaume mwenzako bafuni...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Topic Tata-Mwanaume kumchungulia Mwanaume mwenzako bafuni......

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by zubedayo_mchuzi, May 11, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hii tabia ya baadhi ya Wanaume/wavulana kuwachungulia Wanaume wenzao bafuni wakiwa wanawaoga huwa ni dalili za mabadiliko ya mvulana kuwa shoga.
  Mytaka Haiwezekani
   
 2. M

  Muarubaini JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana wewe ni mtaalamu wa hiyo kaz ya kula chabo midume wenzako, unamani ndiz zao. Watakulamba
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  unauliza makofi polisi . . .
   
 4. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Heshima haipimwi kwa kilo,
   
 5. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  zubeda unaanza kunitia mashaka kama nilivofanya kwa fulani...nakupa muda!
   
 6. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kama muda ni pesa fungua akaunt ya saa
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  unless huyo anayechungulia ni shoga....mwanaume kamili hawezi kufanya hivyo...
   
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Wanaangaliana size.
  Ili hata akisikia kachukuliwa demu wake,ajue pa kuanzia....!!!
   
 9. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha ha ha
   
 10. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  unafikiri zubeda mchuzi, hakyanani vile..!!!
  Ndo tabia yao hyo.
  Pengine hata humu wapo,wanapita kimyakimya kama hawasomi thread vile..!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Huwa wanapata raha gani kumwangalia kidume mwenzako.au kijike mwenzako.
  Watu wa namna hii hata macho yao huwa yamelemaa akiona tundu anaweweseka
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,107
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  duh!!hii ndo kwanzaa naskiaaa si kuleee vudeee msharabwe mweteni kawaida kukutaa tunaogaa kundii la vijana tukiwa machungani,ila hi ya kumliachapo kidume mwezako ni dalili ya upunkestii...bar yenyewe nikienda chooni siwezi kuangalia du duuu ya mwezangu aaaaaaaaaghh
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  loh hii mpya,
   
Loading...