Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,344
- 857,438
- Thread starter
- #41
Kuna mdau kasema una utajiri wa 1B plus...😀Hahaha , wala sikutukana mkuu, kuna comment tu niliandika wadau hawakupenda , nikaona tu niwatake radhi, sema mnajua kukuza mambo, na hiyo pesa wadau walivyotoka mizizi ya shingo nimecheka sana