Ongezea ya 4 kupigwa millions 40 na usiwaze Wala niniKanuni kuu 3 za pombe za kukumbuka daima
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini
Chainampongeza ShesRise_1 kwa kuwa na nyota kali ya kupendwa😎
Kanuni kuu 3 za pombe za kukumbuka daima
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini
Kula chuma hichomimi najipa pole ya dhati baada ya kuingia cha kike siku leo imekua ngumu sana kihisia, ndege wangu amepeperuka
HakikaKanuni kuu 3 za pombe za kukumbuka daima
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini
Kuna muda inabaki hiyo ww ni nani.Kanuni kuu 3 za pombe za kukumbuka daima
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini
namkuta ankoli, amezima na uso wake upo juu ya haja kubwa!🥺🥺🥺🙌🏿🏃🏿😀Pombe usipoiweza bora uiache tuu mkuu! Toka mjomba wangu, sasa ni marehemu kuna siku tupo kijijini, kapiga vitu akaaga kwenda kalala, akaenda kulala jikoni, akazima, haja kubwa na ndogo hapo hapo.
Alfajiri mimi, nilipewa kazi ya kuchinja mbuzi, niamke nikachukue visu jikoni, namkuta ankoli, amezima na uso wake upo juu ya haja kubwa!
Ilibidi nichukue jukumu la kumuepusha ankoli na aibu ile kabla watu hawajaamka. 😁Nikamwamsha, nikampeleka migombani chap, mpa maji aoge na mimi nikasafisha jiko. Bibi anaamka, akanisifia sana kusafisha jiko.
Hiyo ikabaki siri yangu mpaka leo. 😁
namkuta ankoli, amezima na uso wake upo juu ya haja kubwa!🥺🥺🥺🙌🏿🏃🏿😀
Ondoka haraka mno hilo eneo
Nina story very current ngoja siku zisogee kwanza😂Kuna siku Simba ilitinga Robo fainal CAF. Kwa mara ya kwanza. 2019 ile nadhan. Ile siku nilipombeka sana.
Nilimix Jameson . Aaah ile kitu hapana. Mm siiwez.
Saa 10 alfajiri. Ndio nashtuka kuwa natakiwa kwenda home.
Hapo Najua tu kuwa mm ni mwanaume na natakiwa kurud Home. Ila sasa sikumbuki njia 😂😂😂😂.
Nimetoka Mbezi beach top garage kule. Napandisha Goba. Nakuja kushtuka niko round about ya magufuli😎😎😎 . Yaan km 10 zaid ya kona ya home.😂😂😂😂
Ikabid niulizie watu shel ya karibu . Wakanielekeza nikaenda kupark kamkweche kangu na kulala.
saa 1 asubuh nashtuliwa na masimu.
Ndio pona pona yangu.
Ulijisahau na ww?.😊😊😊Nina story very current ngoja siku zisogee kwanza😂
Hahaha , wala sikutukana mkuu, kuna comment tu niliandika wadau hawakupenda , nikaona tu niwatake radhi, sema mnajua kukuza mambo, na hiyo pesa wadau walivyotoka mizizi ya shingo nimecheka sanaJana nimewaka mazee nikaja kuwatukana members humu ndani 😁