Top universities in Tanzania 2018

MMM SAWA VP OPEN UNIVERSITY MBONA HAIPO???
 
GENTAMYCINE amekariri....kwamba SAUT ni chuo bora zaidi ya UDOM. Mambo yanabadilika.....watu wanazaliwa...wanakuwa, wanastaafu...na wengine wanakufa....unadhani kila kitu kitabaki kilivyo? Siku ukisikia SAUT imeipita UDSM pia utashangaa?

After all chuo bora ni cha mtaa
 
Hicho chuo cha Eckenford nasikia humohumo wanaanzia ngazi ya primary Hadi university..
 
Hii list is fake, kuna vyuo havimo na haisema nani mwandaaji
 
Watu ambao hawakupata fursa ya kusoma Udsm wanapachukia kweli kweli. Acheni chuki jamani kasomeni tu pale hakuna anayekatazwa Ila kikubwa vigezo na masharti kuzingatiwa. Ingekua enzi zetu mngeshindwa kusoma pale kwa sababu zilikua znahitajika one pekee lakin ck hizi hata div three zenu zinahitajika pale chuo kikuu.
 
Akili yangu naona vigenzo vilivyotumika ni Vya majengo na sio quality education, am sure Mipango ipo juu kwa udom but kwa majengo sawa
 
Wame anza na vyao alafu wengine nyuma
 
Akili yangu naona vigenzo vilivyotumika ni Vya majengo na sio quality education, am sure Mipango ipo juu kwa udom but kwa majengo sawa
Unatumia nini kupima? Mipango pana nini au ni kwa sababu umesoma pale? Kuna chuo kiliwahi kutoa lalamiko juu ya UBOVU wa wanafunzi wa mipango wanaokwenda kufanya shahada za juu wakitoka Mipango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…