Sasa hakina sifa kitakuwepo vipEti hata KIU haipo
You must be kidding
Research zipi zinafanywa na sua kama sio kuiba Mawazo na proposal za wanafunzi wanaohitimu hapo chuoni.. Kuna jamaa kibao wameibiwa Mawazo yao na hao maprofesa uchwara na kwenda kuchota hela kutoka nchi wahisani. Usitake tumwage karanga hapaLabda kama kigezo ni majengo sawa lakini ukizungumzia teaching staff,research,ubora wa elimu itolewayo na competence ya graduate,sua is is very far to udom
Wanaangalia sabab nyingihivi hakuna mbabe zaidi ya UDSM
Fake hiiThis uniRank page features the 2018 Tanzanian University Ranking of all officially recognized Tanzanian higher-education institutions meeting the following uniRank selection criteria:
being accredited, licensed and/or chartered by the appropriate Tanzanian higher education-related organization
offering at least four-year undergraduate degrees (Bachelor degrees) and/or postgraduate degrees (Master or Doctoral degrees)
delivering courses predominantly in a traditional face-to-face, non-distance education format
The uniRank University Ranking aim is to provide a non-academic League Table of all Tanzanian Universities based on unbiased and valid web metrics.
Rank University Location
1 University of Dar es Salaam Dar es Salaam …
2 The University of Dodoma Dodoma
3 Sokoine University of Agriculture Morogoro …
4 Mzumbe University Morogoro
5 Muhimbili University of Health and Allied Sciences Dar es salaam
6 St. Augustine University of Tanzania Mwanza …
7 Nelson Mandela African Institution of Science and Technology Arusha
8 Ardhi University Dar es Salaam
9 St. Joseph University in Tanzania Mbezi
10 Tumaini University Makumira Arusha
11 St. John’s University of Tanzania Dodoma …
12 Mbeya University of Science and Technology Mbeya
13 The State University of Zanzibar Zanzibar City …
14 The Hubert Kairuki Memorial University Dar es Salaam
15 Catholic University of Health and Allied Sciences Mwanza
16 Ruaha Catholic University Iringa
17 Mount Meru University Arusha
18 Mwenge Catholic University Moshi
19 University of Iringa Iringa
20 Moshi Co-operative University Moshi
21 Muslim University of Morogoro Morogoro
22 Sebastian Kolowa Memorial University Lushoto
23 Abdulrahman Al-Sumait Memorial University Zanzibar City
24 The University of Arusha Arusha
25 Teofilo Kisanji University Mbeya
26 International Medical and Technological University Dar es Salaam
27 Zanzibar University Zanzibar City
28 University of Bagamoyo Dar es Salaam
29 United African University of Tanzania Dar es Salaam
30 Mwalimu Julius K. Nyerere University of Agriculture and Technology Butiama …
31 Eckernforde Tanga University Tanga
Un Katavi University of Agriculture Mpanda
Mipango gani? mipango sio matumiziWapi Mipango?
anaepinga alete source yake.*MPYA: LIST YA VYUO BORA 2018 IMETOKA(BEST UNIVERSITIES)*
*ORODHA MPYA YA VYUO BORA AFRICA, VYUO BORA TANZANIA NA VYUO BORA DUNIANI HII HAPA*
[emoji820] *UDSM IMESHUKA AFRICA KULINGANISHA NA MWAKA JANA*
[emoji820] *UDOM IMEPANDA ZAIDI KWA TANZANIA*
*LIST YA VYUO 200 BORA AFRICA 2018 HII HAPA[emoji288]*
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Top 200 BEST Universities in Africa 2018 African University Ranking|ORODHA YA VYUO BORA AFRICA 2018
*LIST YA VYUO 30 BORA TANZANIA 2018 HII HAPA*
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Best Universities in Tanzania 2018 Tanzanian University Ranking| ORODHA YA VYUO BORA TANZANIA 2018
*LIST YA VYUO 200 BORA DUNIANI 2018 HII HAPA[emoji290]*
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Top 200 Universities in the World 2018 World University Ranking
*TAFADHALI,UNAOMBWA KUSHEA TAARIFA HII MPYA KWA WADAU WOTE WA ELIMU*
Hivi mipango nacho ni University? Hii nchi imefanya siasa kila sehemu, sasa unakuta tuvyuo twingi tunajiita universities. Dawa ni kuRank namna hii ili watu wajitambue.Mipango gani? mipango sio matumizi
Kumbe kuna chuo kinaitwa mipango? Na cha matumizi je?Hivi mipango nacho ni University? Hii nchi imefanya siasa kila sehemu, sasa unakuta tuvyuo twingi tunajiita universities. Dawa ni kuRank namna hii ili watu wajitambue.