Top universities in Tanzania 2018

Top universities in Tanzania 2018

Labda kama kigezo ni majengo sawa lakini ukizungumzia teaching staff,research,ubora wa elimu itolewayo na competence ya graduate,sua is is very far to udom
Ubora wa elimu ya wanafunzi wa UDOM umeupima kwa kigezo kipi? Ulitumia muda gani na njia zipi kutafiti product za zaidi ya program 80 za chuo hiki zilizotoka kwa miaka 10 iliyopita? Una elimu gani na utafiti wako ulifanyia wapi? Ukimaliza maswali hayo kujijibu nenda kwenye mamlaka za uajiri na mafunzo ya kitaaluma wakuambie graduates ea UDOM wanafanya nini kwenye takwimu zao. Usisahau kupitia pale Sinza School of Law wakueleze ni chuo gani wanaongoza kwa kufaulu katika kikao cha kwanza cha mtihani. Acheni kuishi kwa ndoto na mafikirio, ilr ni taasisi ilianzishwa na INAKUA. Msikariri kuwa zile changamoto za uanzishwaji wake zilitakiwa zidumu milele.
 
This uniRank page features the 2018 Tanzanian University Ranking of all officially recognized Tanzanian higher-education institutions meeting the following uniRank selection criteria:

being accredited, licensed and/or chartered by the appropriate Tanzanian higher education-related organization
offering at least four-year undergraduate degrees (Bachelor degrees) and/or postgraduate degrees (Master or Doctoral degrees)
delivering courses predominantly in a traditional face-to-face, non-distance education format
The uniRank University Ranking aim is to provide a non-academic League Table of all Tanzanian Universities based on unbiased and valid web metrics.

Rank University Location

1 University of Dar es Salaam Dar es Salaam …
2 The University of Dodoma Dodoma
3 Sokoine University of Agriculture Morogoro …
4 Mzumbe University Morogoro
5 Muhimbili University of Health and Allied Sciences Dar es salaam
6 St. Augustine University of Tanzania Mwanza …
7 Nelson Mandela African Institution of Science and Technology Arusha
8 Ardhi University Dar es Salaam
9 St. Joseph University in Tanzania Mbezi
10 Tumaini University Makumira Arusha
11 St. John’s University of Tanzania Dodoma …
12 Mbeya University of Science and Technology Mbeya
13 The State University of Zanzibar Zanzibar City …
14 The Hubert Kairuki Memorial University Dar es Salaam
15 Catholic University of Health and Allied Sciences Mwanza
16 Ruaha Catholic University Iringa
17 Mount Meru University Arusha
18 Mwenge Catholic University Moshi
19 University of Iringa Iringa
20 Moshi Co-operative University Moshi
21 Muslim University of Morogoro Morogoro
22 Sebastian Kolowa Memorial University Lushoto
23 Abdulrahman Al-Sumait Memorial University Zanzibar City
24 The University of Arusha Arusha
25 Teofilo Kisanji University Mbeya
26 International Medical and Technological University Dar es Salaam
27 Zanzibar University Zanzibar City
28 University of Bagamoyo Dar es Salaam
29 United African University of Tanzania Dar es Salaam
30 Mwalimu Julius K. Nyerere University of Agriculture and Technology Butiama …
31 Eckernforde Tanga University Tanga
Un Katavi University of Agriculture Mpanda

HABARI,
Duh haya wazee wa Takwimu UDOM-2,MZUMBE-4 Haya.

LUMUMBA
 
Moja ni collage na nyingine ni Institute.

HABARI,
"kisu cha ngariba,
Tunajichanganya sana hapo huwezi niambia ukaacha IFM.Ukitafuta University bora duniani Kwenye Top Ten Unakuta

MIT
California Institute of Technology

Sasa ukisema moja ni Institute mbona hawa jamaa wameweka vyote?
Ufafanuzi tadhali.

Kwa Tanzania naona mara nyingi wanatenga institute na University.
 
Nikifikiria jinsi madogo wa Moshi Cooperative University wanavyozing'oa pepa za CPA halafu wamewarank hivyo walivyowarank, napat a Shaka Sana na vigezo vya hao wanaopima ubora wa vyuo vikuu
 
And once you get enough cash,then we award you an excellent first class pass in general life management skills
Hakuna kilicho bora kama STREET UNIVERSITY COLLEGE OF HARD KNOCKS, hiki hakina certificate wala graduation, you learn only through mistakes
 
Udsm wameipendelea maprofesa wake akina Kabudi ambao tulidhani vichwa kumbe ilikuwa ni harakati za madaraka, hawasimamii matokeo ya tafiti wanasimamia matokeo ya matumbo. Prof huwezi leo ukasema hiki kesho ukageuza maneno kwa sababu tu ya tumbo.
 
Ubora wa elimu ya wanafunzi wa UDOM umeupima kwa kigezo kipi? Ulitumia muda gani na njia zipi kutafiti product za zaidi ya program 80 za chuo hiki zilizotoka kwa miaka 10 iliyopita? Una elimu gani na utafiti wako ulifanyia wapi? Ukimaliza maswali hayo kujijibu nenda kwenye mamlaka za uajiri na mafunzo ya kitaaluma wakuambie graduates ea UDOM wanafanya nini kwenye takwimu zao. Usisahau kupitia pale Sinza School of Law wakueleze ni chuo gani wanaongoza kwa kufaulu katika kikao cha kwanza cha mtihani. Acheni kuishi kwa ndoto na mafikirio, ilr ni taasisi ilianzishwa na INAKUA. Msikariri kuwa zile changamoto za uanzishwaji wake zilitakiwa zidumu milele.
Pole sana ndugu yangu,kwa taarifa,mimi ni miongoni wa tuliokuwa tumechaguliwa kuanza masomo pale chuo kilipoanzishwa 2007,nikaopt kwenda chuo kingine. Zaidi nina ndugu,jamaa na marafiki ambao wamepita hapo na wengine wanafundisha pale. Fuatilia takwimu za lecturers wao na level zao za elimu then utajua. Mtu asiye na experience,ni utafiti gani atafanya??? umesahau ni miaka michache tu walikuwa wanaandamana kudai mafunzo kwa vitendo??
 
This uniRank page features the 2018 Tanzanian University Ranking of all officially recognized Tanzanian higher-education institutions meeting the following uniRank selection criteria:

being accredited, licensed and/or chartered by the appropriate Tanzanian higher education-related organization
offering at least four-year undergraduate degrees (Bachelor degrees) and/or postgraduate degrees (Master or Doctoral degrees)
delivering courses predominantly in a traditional face-to-face, non-distance education format
The uniRank University Ranking aim is to provide a non-academic League Table of all Tanzanian Universities based on unbiased and valid web metrics.

Rank University Location

1 University of Dar es Salaam Dar es Salaam …
2 The University of Dodoma Dodoma
3 Sokoine University of Agriculture Morogoro …
4 Mzumbe University Morogoro
5 Muhimbili University of Health and Allied Sciences Dar es salaam
6 St. Augustine University of Tanzania Mwanza …
7 Nelson Mandela African Institution of Science and Technology Arusha
8 Ardhi University Dar es Salaam
9 St. Joseph University in Tanzania Mbezi
10 Tumaini University Makumira Arusha
11 St. John’s University of Tanzania Dodoma …
12 Mbeya University of Science and Technology Mbeya
13 The State University of Zanzibar Zanzibar City …
14 The Hubert Kairuki Memorial University Dar es Salaam
15 Catholic University of Health and Allied Sciences Mwanza
16 Ruaha Catholic University Iringa
17 Mount Meru University Arusha
18 Mwenge Catholic University Moshi
19 University of Iringa Iringa
20 Moshi Co-operative University Moshi
21 Muslim University of Morogoro Morogoro
22 Sebastian Kolowa Memorial University Lushoto
23 Abdulrahman Al-Sumait Memorial University Zanzibar City
24 The University of Arusha Arusha
25 Teofilo Kisanji University Mbeya
26 International Medical and Technological University Dar es Salaam
27 Zanzibar University Zanzibar City
28 University of Bagamoyo Dar es Salaam
29 United African University of Tanzania Dar es Salaam
30 Mwalimu Julius K. Nyerere University of Agriculture and Technology Butiama …
31 Eckernforde Tanga University Tanga
Un Katavi University of Agriculture Mpanda
NIT iko wapi, au siyo chuo kikuu?
 
Eckernforde vyupi kuanzia wanafunzi mpaka UONGOZI.

shubamiit
 
Labda kwa Dodoma kama wametumia kigezo cha kuwa ni chuo cha serikali na kulingana na serial ya vyuo vilivyoorodheshwa.
 
Back
Top Bottom