Multiple Myeloma
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 466
- 393
sikujua hilo kosa, asante.sio mloganzila academic medical center bali ni MUHAS ACADEMIC MEDICAL CENTRE - MLOGANZILA CAMPUS
CAMPUS YA MUHAS iliyopo Mloganzila
sikujua hilo kosa, asante.sio mloganzila academic medical center bali ni MUHAS ACADEMIC MEDICAL CENTRE - MLOGANZILA CAMPUS
CAMPUS YA MUHAS iliyopo Mloganzila
Unaichukulia poa UDOM eti? Endelea kukariri hivyo hivyoHaiwezekani Udom kuwa juu ya sua....
Wanaangalia sabab nyingi
Mfano idadi ya maprofesa waliopo chuo husika
Wahitimu wanalisaidiaje Taifa kwenye maisha halisi mfano km kina Tundu lissu wanavyipigania haki bungeni
Wahitimu wa natokea kwenye mashirika makubwa mfn world Bank
Sasa vyuo Ving vya private haviwez kumiliki maprofesa zaidi ya kumi unakuta vingi Ni watano au Sita ila vyuo vya serikali maprofesa wa kumwaga
apoThis uniRank page features the 2018 Tanzanian University Ranking of all officially recognized Tanzanian higher-education institutions meeting the following uniRank selection criteria:
being accredited, licensed and/or chartered by the appropriate Tanzanian higher education-related organization
offering at least four-year undergraduate degrees (Bachelor degrees) and/or postgraduate degrees (Master or Doctoral degrees)
delivering courses predominantly in a traditional face-to-face, non-distance education format
The uniRank University Ranking aim is to provide a non-academic League Table of all Tanzanian Universities based on unbiased and valid web metrics.
Rank University Location
1 University of Dar es Salaam Dar es Salaam …
2 The University of Dodoma Dodoma
3 Sokoine University of Agriculture Morogoro …
4 Mzumbe University Morogoro
5 Muhimbili University of Health and Allied Sciences Dar es salaam
6 St. Augustine University of Tanzania Mwanza …
7 Nelson Mandela African Institution of Science and Technology Arusha
8 Ardhi University Dar es Salaam
9 St. Joseph University in Tanzania Mbezi
10 Tumaini University Makumira Arusha
11 St. John’s University of Tanzania Dodoma …
12 Mbeya University of Science and Technology Mbeya
13 The State University of Zanzibar Zanzibar City …
14 The Hubert Kairuki Memorial University Dar es Salaam
15 Catholic University of Health and Allied Sciences Mwanza
16 Ruaha Catholic University Iringa
17 Mount Meru University Arusha
18 Mwenge Catholic University Moshi
19 University of Iringa Iringa
20 Moshi Co-operative University Moshi
21 Muslim University of Morogoro Morogoro
22 Sebastian Kolowa Memorial University Lushoto
23 Abdulrahman Al-Sumait Memorial University Zanzibar City
24 The University of Arusha Arusha
25 Teofilo Kisanji University Mbeya
26 International Medical and Technological University Dar es Salaam
27 Zanzibar University Zanzibar City
28 University of Bagamoyo Dar es Salaam
29 United African University of Tanzania Dar es Salaam
30 Mwalimu Julius K. Nyerere University of Agriculture and Technology Butiama …
31 Eckernforde Tanga University Tanga
Un Katavi University of Agriculture Mpanda
Ha ha...Eti hata KIU haipo
You must be kidding
Usijali kawaida tusikujua hilo kosa, asante.
wamezoea Hawajui udom ilivo kwa sasaUnaichukulia poa UDOM eti? Endelea kukariri hivyo hivyo
Hawataki kuelewa waliichukulia poa UDOM now wanaelewa kwanini ni UDOM and not otherwiseWatu wasioijua UDOM watashangaa imefikaje hapo juu, lakini mm ninayeijua sishangai kabisa. Hawa jamaa walianza vibaya saana wakiwa hawana waalimu wenye degree 3, au 2 lakini wakawaendeleza saaana na sasa wana waalimu wakutosha saana. Hawana haja tena ya kuajiri PhD holders, wenyewe wanaajiri first degree tu then wanamtrain mpaka anakuwa na PhD. Na training zao zina malengo sio kuwa watu wanajisomea watakavyo bali wanasoma waje wajaze upungufu wa chuo. Kwa ss UDOM ina PhD holders weengi karibia na UDSM kama (hawajaipita bado)
Hata MUHAS hapo siyo pake...moja au 2 basi...ARU pia.Haiwezekani Udom kuwa juu ya sua....
Ni kwel wanaishi kwa mazoea saanaa, ngoja tusubili baada ya miaka mitatu kwa walivo sasa hivi udom baada ya hiyo miaka watakuwa juu ya hao udsm.Hawataki kuelewa waliichukulia poa UDOM now wanaelewa kwanini ni UDOM and not otherwise
nafikiri kaangalia popularity ya chuo tu na wala si ubora wa chuo husika...Mleta maada kasoma UDOM kwahyo anaamua kufool jamii kuonyesha kwamba UDOM ni chuo bora. UDOM haiwezi kuisogelea UDSM na haiwezi kuwa juu ya Mzumbe na SUA....
Wasikupangie mkuu Edit hiyo list.Haiwezekani Udom kuwa juu ya sua....
Imenibidi nicheke tu....Wasikupangie mkuu Edit hiyo list.
Afu siku nyingine uweke vigezo kwnn ili wasomi muelewane