Top ten ya Mikoa yenye wanaume wa shoka

ninaposema wanaume wa shoka namaanisha wanaume wale magiant,wanaojua kupiga kazi hasa,sio wale wanaoshindia kwenye dressing table na kula chipsi mayai.
list yenyewe ndio kama ifuatavyo
1.Mara
2.Mwanza
3.Shinyanga
4.Arusha
5.Mbeya
6.Geita
7.Tabora
8.Simiyu
9.Kilimanjaro
10.Rukwa
wanaume wa dar 95% wanatoka mikoa uliyotaja sasa sijui umekwepa nini kwa dar
 
Mkuu ya kwanza ni Zanzibar ya pili Tanga. Hahaaaa eeee Baba niepushe na hili povu.
 
Kigezo ulichotumia ni uuaji albino na uchunaji ngozi? Maana ndio mikoa iliyotajwa hapo
 
ninaposema wanaume wa shoka namaanisha wanaume wale magiant,wanaojua kupiga kazi hasa,sio wale wanaoshindia kwenye dressing table na kula chipsi mayai.
list yenyewe ndio kama ifuatavyo
1.Mara
2.Mwanza
3.Shinyanga
4.Arusha
5.Mbeya
6.Geita
7.Tabora
8.Simiyu
9.Kilimanjaro
10.Rukwa
Mbeya inabebwa na wanawake
 
Ben kinyaia
0200163d291e2b06d9811c58b1abd924.jpg
 
Back
Top Bottom