Top ten wonderful names from Tanzania

Ndg,Ernest S.Chawewe
S inasemekana ni Shangweliemo,tulikuwa naye Dindimo sec 2008-2010
 
PANYUMA MBAMBA niliwahi soma shule moja na huyu binti, sijui yuko wapi. Siku wanafunzi waliposikia jina lake walicheka sana assembly.
 
1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.

2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.

3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE-Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.

4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-Dereva wa mabasi ya Hood.

5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.

6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.

7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.

8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi Tanzania.

9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.

10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE-Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)

Kiongozi 34 KJ iko Dar bwana sio Mbeya, Iko dar pale Lugalo
 
Maregesi gerald mroba kanakanshungu mweru,mkami chacha matiku marwa,lugalo primary 2001
 
Nakumbuka world cup 2002, mtangazaji alisema jina la jamaa, " mboo mpenza ndani ya uwanja wa kumamoto japenga "
 
John Kombaha wa Makongo High School French Dep, baada ya kuona kuna Komba wengi akaongeza ha mwisho ikawa Kombaha akaona haitoshi akaongeza ha ikawa Kombahaha.
 
Back
Top Bottom