maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,278
- 5,518
Supetii sakitaa titii ni mtoto wa mjomba wangu kabisa yani cousin wangu! Yuko kule oldonyo morwa mkoani kilimanjaro!
Ole pumbunipelepeche mwaipumbugilage-nilisoma nae mwakaleli sec mwaka 1992-1995
Mboro - A to Z ana duka la vifaa vya maabara Kinondoni1) Alabara Paraita
2) Kakai Lemunju
3) Kiboli Olkwap
4)Mbayo Mbogoso
Majina ya kimasai hayo
Mbonea Masamba
Misalaba Sahani
Tabu Kaswahili
[h=5]Top ten wonderful names from Tanzania
1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO- Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA - Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.
3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE- Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.
4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE- Dereva wa mabasi ya Hood.
5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.
6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA - Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.
7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.
8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI- Waziri wa Ujenzi Tanzania.
9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.
10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE - Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)
[/h][/QUOTE
Ngamanya kitangalala ,, huyu nilikuwa nae Mbeya sekondary
Duh...! Hapa aisee umetuibia.Kanyamavi Kayashika - mhitimu Mazengo sec 1989