Top 7 bombers in the World

Top 7 bombers in the World

Hiyo ni wewe kwa uwezo na akili yako ya kufikiri sii lazima uwezo na muda utakaoutumia ndo mwenzio atakaotumia.Hata suala la first man in space halikuwahi kufanyika tangia dunia kuumbwa hadi walipofanya USSR ila baada ya hapo haukutumika muda mrefu kama huo wengine kufanya hayo na makubwa zaidi.
Ht mpk Leo hakuna nchi iliyowah peleka mtu mwezini zaid ya US.
 
Naona jamaa kwa projects kama hizo wamegundua kuwa anga la mrusi ni sumu, they have now realized that the air superiority over Russia is absolutely a day dream.They've now invested deadly sums in projects that can turn impossible scenarios to at least _____________!!!

US$ 2,100,000,000 for just single warplane?!!
Hiyo ndege ya 2.1 bilion USD haikatizi ikipita kwa s400 defense system
 
Mkuu tangu stealth warplanes zianze kufnya kazi ni moja tu ndo imewahi angushwa huko Serbia ambayo ni F117 na sababu ya kuangushwa inasemekana ni kuachwa waz kwa mda kidogo mlango wa kutolea mabomu.
Pia kumbuka huko Serbia hyo F117 flew more than 850 sorties lakin moja tu ndo ilifanikiwa kuangushwa. Toka hapo vita zote zilizofuata haijawahi angushwa hata Mara moja. F-117A: Allied Force Missions
Kama vita gani mkuu, Hebu fafanua...
 
c90240a7a59fb154fd8cdb1ccf8eb3b0.jpg
e2e7a9b7a6168c4b3d2fe10b9df4806b.jpg

Hili dude ni Nomaaaaa. Shikamoo US.
 
Ht mpk Leo hakuna nchi iliyowah peleka mtu mwezini zaid ya US.
Ila sii hoja ya kuonesha umahiri wa USA maana Russia wamewahi kufanya soft landing na hard landing pamoja na kupeleka viumbe tofauti na ndo wenye kuwapeleka USA in space nowadays hadi 2020.
 
Ila sii hoja ya kuonesha umahiri wa USA maana Russia wamewahi kufanya soft landing na hard landing pamoja na kupeleka viumbe tofauti na ndo wenye kuwapeleka USA in space nowadays hadi 2020.
Km hyo sio hoja, bhas pia hata hzo soft&hard landing nazo sio hoja.
 
Mkuu ze kokuyo asante kwa tag si unajua jukwaa la siasa limetuteka ok mm labda nikijite kwenye tofauti kati ya hzi ndege pendwa katika uwanja wa mapambano ambazo ni Jet fighter na Bombers kwani watu wengi wamekuwa wakishindwa kutofautisha matumizi ya mindege hii miwili kwanza Bombers mara nying zinatumiwa kwenye missions za mbali na missions kubwa kubwa kwani zinauwezo wa kwenda umbali mrefu bila ya kuweka mafuta na kama itaitajika kuongeza mafuta wanaweza kuongezea juu kwa juu bila ya ndege kutua uwanjani kama ambavyo jet nying zinafanya au ndege nying zinavyofanya

Bombers ni kama truck katika ndege za kijeshi kwani zinakuwa na uwezo wa kubeba idadi kubwa ya mabomu si makombora ndege hzi hazina speed kubwa kama ya jet yani super sonic speed pia hazina mbwembwe (maneurvable) pia mara nying bomber hutumika kulipua target zilizo chini pia si Dog fight pia mabomu yake yanakuwa hayana PGM yani( precision guided manition) au kwa jina lingine ni smart bombs

Jet hz ni kama baskeli za mashidano katika ndege za kijeshi kwanza zina speed kubwa ya sauti yani super sonic speed zinabeba mabomu machache lakini yenye weledi mkubwa yani smart bombs zenye mfumo wa PGM kumbuka aiwezi kuitwa smart bombs mpaka mfumo huu uwepo na ndege hz zina mbwembwe sana na target yake inapiga 360 degrees yani yana uwezo wa kupiga angani,majini,aridhini kutokana na mfumo huu wa PGM lakini leo ukiwauliza marubani wa kijeshi kumi nane watakwambia wanapenda kuendesha bombers kuliko jet kwani jet ina hatari zaidi ktk uwanja wa kivita kuliko bombers
Sasa bhasi kutokana na technology ilivyokuwa inaongezeka ikaja ndege nyenye vitu vyote vinavyopatikana kwa jet na bombers yani 5 generation military jet inajulikana kama stealth multirole fighters ambayo ni B2 sprit
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom