•1.Northrop Grumman B-2 Spirit(USA)![]()
Ndege hii iliyotengenezwa kwa usiri mkubwa ni moja ya fahari ya jeshi la Marekani na inajulikana sana kutokana na umbile lake kufanana na Popo. Ilianza kutengenezwa kipindi cha vita baridi na hadi sasa ndiyo ndege vita ghari kuwahi kutengenezwa duniani ikigharimu dola 2.1 kwa ndege moja(hii ni kwa rate ya dola ya mwaka 1997)
Upekee wa ndege hii ni kwamba sio rahisi kuonekana kwenye rada ya adui kutokana na mfumo wake wa utenengenezwaji kuvuruga mawimbi ya rada za adui,pia ina mfumo wa kisasa wa kieletroniki kushambulia pamoja na kuona kila kilichopo ardhini.
Ndege hii ina uwezo mkubwa wa kubeba silaha kama vile mabomu,makombora(mpk 18000kg)pia ina uwezo wa kubeba mabomu ya nyuklia mpka 16 pamoja na makombora ya masafa marefu ya nyuklia. Ina uwezo wa kwenda umbali wa zaid ya 12000km bila kujazwa mafuta huku ikipaa umbali wa hadi futi 50,000 angani na kushambulia pasipo kuonekana kwenye rada za adui.
Pia ndio ndege pekee ndani ya jeshi la Marekani yenye uwezo wa kubeba mabomu makubwa kwa ajili ya kuharibu ngome za adui zilizopo chini ya ardhi yajulikanayo kama Massive Ordinance Penetrator(MOP).
•2.Tupolev Tu-160(Russia)![]()
Hii ndiyo ndege vita nzito kuliko zote duniani ikiwa na uzito wa tani 275.Ndege hii ina uwezo wa kubeba silaha za kivita ikiwemo mabomu, makombora ya masafa marefu na hataa zile za nyuklia yenye uzito wa tani 40,ikiwa ndiyo ndege inayobeba mzigo mkubwa wa silaha kuliko zote ulimwenguni.
Ina uwezo wa kutembea umbali had 14500 km bila kujazwa mafuta. Ina uwezo wa kukimbia kwa 2220km kwa saa.Ina uwezo w kubeba makombora ya masafa marefu kama vile Kh-55,Kh-101,nk.
Kutokana na gharama za utengenezaji na uendeshaji wake inasadikika mpaka sasa jeshi la Urusi lina ndege hizi 16.
•3.Rockwell B-1B Lancer(USA)![]()
Ndege hii ilianza kufanya kazi mwaka 1986 ikiwa na matarajio ya kuchukua nafasi ya B-52.Ina uwezo wa kubeba silaha za nyuklia.Sifa nyingine za ndege hii pia imeongezewa uwezo kidogo wa kutokuonekana kwenye rada japo sio mkubwa ukilinganiasha na ule wa B2.
Ina uwezo wa kubeba silaha kama vile makombora, mabomu yenye uzito wa hadi Tani 34(34000kg).Hii ndiyo ndege inayobeba mzigo mkubwa wa silaha kuliko zote ndani ya jeshi la Marekani.
Jumla ya ndege hizi 100 zilitengenezwa ila mpk sasa inaarifiwa zipo 70 ndani ya jeshi la Marekani. Inaarifiwa kwamba ndege hiz zitaendelea kufanya kaz hadi mwaka 2030 ambazo nafasi yake itajazwa na ndege nyingine.
•4. Boeing B-52H Stratofortress(USA)![]()
Ndege hii ilitengenezwa kwa ajili ya kubeba silaha za nyuklia.Ilianza kufanya kaz ndani ya jeshi la Marekani tangu mwaka 1955.Jumla ya ndege hiz 744 zilitengenezwa zikiwa ni za aina(versions) tofauti tofauti. Mpaka sasa jumla ya ndege hiz 85 zinafanya kaz ndani ya jeshi la Marekani na zinaarifiwa kuendelea kufanya kaz hadi mwaka 2044.
B52 ilimetumika kwenye vita mbalimbali ikiwemo ya Vietnam japo huko kote ilikua ikifanya mashambuliz ya kawaida tu na si ya nyuklia.
Ndege hii ina uwezo wa kubeba mzigo wa silaha hadi tani 32(32000 kg) ikiwemo mabomu, makombora ya aina mbalimbali kama yale ya Cruise na mabomu ya GPS. Ina uwezo wa kwenda umbali had 18500km bila kujazwa mafuta.
•5.Tupolev Tu-95(Russia)![]()
Ndege hii inayoendeshwa kwa mapanga boi bado imebaki kama uti wa mgongo kwa taifa la Urusi kwa ajili ya mashambuliz ya masafa marefu.Dhumuni la kutengenezwa kwa hii ndege ni kufanya mashambuliz ya nyuklia moja kwa moja ndani ya Marekani kutokea Urusi.
Ina uwezo wa kubeba mzigo wa silaha hadi tani 15(15000kg) huku ikiwa na uwezo wa kwenda umbali wa hadi 12000km bila kujazwa mafuta japo kuna ndege nyingine za aina hii zilizoboreshwa zinaweza kwenda umbali wa had 15000km bila kujazwa mafuta.
Jumla ya ndege hiz 500 zilitengenezwa ingawa mpk sasa zilizopo ndani ya jeshi la Urusi ni ndege 60.
Ilianza kufanya kaz tangu mwaka 1984 huku ikitegemewa kuendelea kubaki ndani ya jeshi la Urusi hadi mwaka 2040.
•6.Tupolev Tu-22M(Russia)![]()
Ndege hii ina uwezo wa kubeba mzigo wa silaha had tani 24(24000kg) ikiwemo mabomu na makombora tofaut tofaut. Pia ina uwezo wa kwenda umbali wa had 7000km bila kujazwa mafuta.Ina uwezo wa kukimbia kwa speed had 2300 kwa saa.
Zaid ya ndege 570 za aina hii zilitengenezwa huku mpaka sasa jeshi la Urusi inaarifiwa kwamba ina ndege hiz zaid ya 90.Pia ndege hizi zipo kwenye jeshi la India.
•7.Xian H-6K(China)![]()
Ndege hii zilitengenezwa kutokana na ndege za kirusi aina ya Tu-16 kwa kukatiwa leseni.
Jumla ya ndege hizi 150 zilitengenezwa.Ina uwezo wa kubeba mzigo wa silaha hadi tani 9(9000kg) ikiwemo mabomu na makombora mbalimbali.
Ina uwezo wa kutembea umbali wa had 3200neutical miles(6000km) bila kujazwa mafuta.
Elungata Chenchele Dotworld MASAMILA izzo nankumene MURUSI SirChief mohamedidrisa789
MTOTO WA KUKU
Bukyanagandi
Sexer
Ndo maana Russia walisema USA wanajidanganya kuwa hazionekani kwenye RADAR ilhali wao wanaziona..wakasema siku vita itakapotokea ndo itajulikana kama zinaonekana au la.katika kuthibitisha huwa zinaonekana kwa teknolojia ya Msoviet zimewahi kuangushwa vitani.Naona jamaa kwa projects kama hizo wamegundua kuwa anga la mrusi ni sumu, they have now realized that the air superiority over Russia is absolutely a day dream.They've now invested deadly sums in projects that can turn impossible scenarios to at least _____________!!!
US$ 2,100,000,000 for just single warplane?!!
Mkuu tangu stealth warplanes zianze kufnya kazi ni moja tu ndo imewahi angushwa huko Serbia ambayo ni F117 na sababu ya kuangushwa inasemekana ni kuachwa waz kwa mda kidogo mlango wa kutolea mabomu.Ndo maana Russia walisema USA wanajidanganya kuwa hazionekani kwenye RADAR ilhali wao wanaziona..wakasema siku vita itakapotokea ndo itajulikana kama zinaonekana au la.katika kuthibitisha huwa zinaonekana kwa teknolojia ya Msoviet zimewahi kuangushwa vitani.
Half mkuu jiulize kama hyo stealth technology haifany kaz kwanini huyo Urusi kawekeza mabilion ya fedha kwenye hyohyo tech ambayo wanadai kwamba haifany kaz?!. Na sio Russia tu, China, Iran,nk. Wote sasa hv wamewekeza mabilion ya dola huko kwenye stealth.Ndo maana Russia walisema USA wanajidanganya kuwa hazionekani kwenye RADAR ilhali wao wanaziona..wakasema siku vita itakapotokea ndo itajulikana kama zinaonekana au la.katika kuthibitisha huwa zinaonekana kwa teknolojia ya Msoviet zimewahi kuangushwa vitani.
Mzee pengine kuna faida nyingine zaidi ya hiyo invisible.Pia unaweza ukawekeza kwa ajili ya research si lazima iwepo nia ya kutengeneza.Maana suala la invisibility hilo ni halipo.Half mkuu jiulize kama hyo stealth technology haifany kaz kwanini huyo Urusi kawekeza mabilion ya fedha kwenye hyohyo tech ambayo wanadai kwamba haifany kaz?!. Na sio Russia tu, China, Iran,nk. Wote sasa hv wamewekeza mabilion ya dola huko kwenye stealth.
Kwani nani kakwambia kwamba stealth plane ni completely invisible?!Mzee pengine kuna faida nyingine zaidi ya hiyo invisible.Pia unaweza ukawekeza kwa ajili ya research si lazima iwepo nia ya kutengeneza.Maana suala la invisibility hilo ni halipo.
Hao warusi wako wenyewe toka miaka ya 2000 wanahangaika kutengeneza Stealth bomber Russia develops stealth bomberMzee pengine kuna faida nyingine zaidi ya hiyo invisible.Pia unaweza ukawekeza kwa ajili ya research si lazima iwepo nia ya kutengeneza.Maana suala la invisibility hilo ni halipo.
Kulingana na facts izo apo chini ulichoandika ni kweli imeangushwa moja tu? Hata ingekuwa hivyo basi ni kwa ajili ya kuoperate kwenye vita na mataifa madogo kiteknolojia,pia kutokana na bei zake zinatumika mara chache sana kuepuka hasara pindi zikishambuliwa.Mkuu tangu stealth warplanes zianze kufnya kazi ni moja tu ndo imewahi angushwa huko Serbia ambayo ni F117 na sababu ya kuangushwa inasemekana ni kuachwa waz kwa mda kidogo mlango wa kutolea mabomu.
Pia kumbuka huko Serbia hyo F117 flew more than 850 sorties lakin moja tu ndo ilifanikiwa kuangushwa. Toka hapo vita zote zilizofuata haijawahi angushwa hata Mara moja. F-117A: Allied Force Missions
Ilipenya anga zipi ilipita Russia?Ilipita China?Nchi zote mbili izo bila kibali?Au labda ilipita North Korea au Iran?Sasa suala la undetected linatoka wapi?Kwani nani kakwambia kwamba stealth plane ni completely invisible?!
Na km suala la invisibility hakuna,je hyo F117 iliwezaje kupenya kwenye hzo anga undetected?!
Hiyo ni wewe kwa uwezo na akili yako ya kufikiri sii lazima uwezo na muda utakaoutumia ndo mwenzio atakaotumia.Hata suala la first man in space halikuwahi kufanyika tangia dunia kuumbwa hadi walipofanya USSR ila baada ya hapo haukutumika muda mrefu kama huo wengine kufanya hayo na makubwa zaidi.Hao warusi wako wenyewe toka miaka ya 2000 wanahangaika kutengeneza Stealth bomber Russia develops stealth bomber
Na hata sijui hyo project imeishiaje, hawajui kwamba haya makitu yanahitaj researches za mda mrefu.
Sasa mkuu Mount Kibo ulitaka US atume B2 iingie kwenye anga ya Urusi au Iran kwani wana vita gani?!Ilipenya anga zipi ilipita Russia?Ilipita China?Nchi zote mbili izo bila kibali?Au labda ilipita North Korea au Iran?Sasa suala la undetected linatoka wapi?
Kuanzia huko Serbia, Iraq mpk Libya. Na kumbuka pia hzo sehem huko kote zilikua zilikua zikilindwa na makumi kwa mamia ya SAMs za Urusi.Ilipenya anga zipi ilipita Russia?Ilipita China?Nchi zote mbili izo bila kibali?Au labda ilipita North Korea au Iran?Sasa suala la undetected linatoka wapi?
Tangu lini North Korea ikaishusha stealth bomber ya US?!Kulingana na facts izo apo chini ulichoandika ni kweli imeangushwa moja tu? Hata ingekuwa hivyo basi ni kwa ajili ya kuoperate kwenye vita na mataifa madogo kiteknolojia,pia kutokana na bei zake zinatumika mara chache sana kuepuka hasara pindi zikishambuliwa.
Je hiyo missile cock pit haitafunguliwa tena in future kwa ajili ya kurusha mabomu kama ndiyo haitaonekana tena?
Stealth is not—and never has been—invisibility, but it does offer greatly delayed detection so that a fighter or bomber and can engage a target and leave before the enemy has time to react. “Stealth is ‘delayed detection’ and that delay is getting shorter. SAM (Surface-to-Air Missile) radars are shifting their frequencies into lower frequency bands where U.S. stealth is less effective,” said Mark Gammon, Boeing’s F/A-18E/F and EA-18G program manager for advanced capabilities,[URL='https://news.usni.org/2014/04/21/stealth-vs-electronic-attack'] had told me some time ago. “Early warning radars are in the VHF spectrum where stealth has limited if any capability. These radars are networked into the SAM radars giving the SAM radars cued search[/URL]
North Korea downs stealth bomber | tomdemerly
![]()