Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Nimegundua una ushabiki wa kimahaba ktk vita ya USA unaweza ukazungumzia Iraq ambayo walidanganywa wateketeze silaha kali ndo wakaanza kushambuliwa,Libya ambayo ilishakuwa na machafuko ya ndani waka-Impose no fly zone?Kama ww unaamini izo ziko superior kwanini USA wamekalia kulialia dhidi ya IRAN,NORTH KOREA mbona zisitumike?Ni wapi USA waliwahi kupigana vita wakashinda in balanced poweer tangia ulimwengu huu kuumbwa?Iyo kwenye rangi ya bluu unatumia reference ya ndege dhaifu kwa minajili ya EXPORT tena ilotengenezwa na USA wenyewe wanajua udhaifu wake.Niambie siku itakapopita kando mwa MIG 31 au SU-35 nitaamini superiority.Kwa taarifa zako baada ya ujerumani kuungana plus other warsaw pact countries most of Russian machines zilichukuliwa kwa ajili ya research na USA/nato.Kuanzia huko Serbia, Iraq mpk Libya. Na kumbuka pia hzo sehem huko kote zilikua zilikua zikilindwa na makumi kwa mamia ya SAMs za Urusi.
U.S. F-22 stealth fighter pilot taunted Iranian F-4 Phantom combat planes
Km hao Iran wenyewe ndege yao ilikua jammed na F22,na pilot wake(Iran) alikua hajui km F22 ipo eneo hilo mpk pilot wa F22 alipomshtua kwamba dogo(pilot was Iran) aondoke aende kwao ndo Leo aweze kuishusha F22.