jangotree
Member
- Jun 30, 2017
- 31
- 12
kwanini kaka umesema hivyoMkuu andiko lako halina tofauti na lile la ripoti ya makinikia ni refu mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama zake zikoje mkuu tujuzane yaan full mpaka kulifunga gharama kama sh ngap hv?kutumia hivyo vingamuzi ni sawa na kufungwa minyororo ukiwa gerezani na njaa kali!!! funga dishi lako tafuta FTA na usilipie malipo ya mwezi daima.
NB: Ni wachache sana watashtukia huu mchezo.
Dstv ndio baba lao1. DSTV
2. Azam
3. Zuku Tv
4. Ting HD
5. Startimes
6. Digtek
7. Continental decoder
My take; Dialo kashika mkia na awe analipa kodi na wafanyakazi wake