Top 6 ya ving'amuzi bora Tanzania vyenye wateja wengi, Unachotumia kipo?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Baada ya kuhamia rasmi kwenye mfumo wa kisasa wa kurushia matangazo ya satelite (digital) nchi ya Tanzania Imeshuhudia huduma za ving’amuzi kwa ajiri ya matangazo ya runinga kwa namna ya kisasa kabisa.

Ubora na umaarufu wa king’amuzi husika hutegemea
Ubora wa kurusha matangazo.
Ubora wa vifurushi.
Uwezo wa king’amuzi kutoa huduma bila matatizo yoyote ya kiufundi ya mara kwa mara.

Uzuri wa picha na sauti wa king’amuzi husika.
Wingi wa channels.
Eneo la utoaji wa huduma wa king’amuzi husika.
Ubunifu pamoja na channels zenye kutazamwa sana N. K
Kwa vigezo hivyo na vingine hivi ndio ving’amuzi bora na maarufu zaidi vyenye wateja wengi zaidi nchini Tanzania.

#6.
The CONTINENTAL DECODER
MAKAO MAKUU : Ilemela, Mwanza
NCHI: Tanzania
KILIANZISHWA: Mwaka 2013
MMILIKI: Sahara media group
IDADI YA CHANNELS: 50+
IDADI YA VIFURUSHI : 4+
ENEO LA HUDUMA: Nchi moja [ Tanzania ]
TEKNOLOJIA:
D.T.T / D.D.T.V
HD
I.P.T.V
Digital cable

UBORA:
Picha
Sauti
Uwezo wa kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa:
KAULI MBIU : “The quality to talk about”
UMAARUFU [Tanzania] : #2

Uzalendo pamoja na uchu wa kuhakikisha watanzania wanaondokana na mfumo wa kianalogia king’amuzi hiki kiko mstari wa mbele kabisa kwenye suala hili. Continental ni king’amuzi chenye idadi ya watumiaji wengi nchini Tanzania huku kampuni ikiwa na mipango ya kusambaza huduma katika nchi mbalimbali. Na inasadikika kuwa king’amuzi hiki ndicho kinachoongoza kwenye teknolojia ya kisasa kabisa ya
Digital Terrestial Television yaani D.D.T.

Teknolojia hii ni mapindunzi makubwa sana katika ulinwengu wa television na digital kwa ujumla huku ikiwa imeboresha sana mwonekano na sauti kwenye runinga. Continental decorder inajitahidi sana licha ya matatizo ya kiufundi, kitendo cha huduma kwa wateja pamoja na kutosambaa nchi nyingi kama watumaji wake wanavyodai.

Kampuni mmiliki wa king’amuzi hiki Sahara media group ni kampuni makini sana ambayo imani ya wengi kutokana na mafanikio ya kampuni hii inapelekea kuamini tatizo lolote litakalojitokeza linatatuliwa kutokana na maboresho yanayoendelea kila siku.

Licha ya hayo Continental decorder ni king’amuzi bora na maarufu sana chenye matumizi sehemu nyingi nchini Tanzania.

#5 .
STARTIMES
MAKAO MAKUU : Beijing
NCHI: China
KILIANZISHWA: Mwaka 1988
MMILIKI: Startimes digital group
IDADI YA CHANNELS: 150 +
IDADI YA VIFURUSHI : 6+
ENEO LA HUDUMA [ Afrika ] : Nchi 7
Tanzania
Kenya
Uganda
Rwanda
Afrika ya kati
Nigeria
Afrika kusini
TEKNOLOJIA:
D.D.T.V
H.D
D.T.H
Digital cable & Non cable Digital Tv

KAULI MBIU : ” Enjoy Digital Life ”

Ni ukweli usiopingika hata kidogo kuhusu ubora wa king’amuzi hiki ambacho ni moja ya ving’amzi vya awali kabisa kutoa huduma za kidigital nchini Tanzania. Kampuni inyomiliki king’amuzi hiki ni wazi kwamba ni kampuni kubwa duniani kutoka nchini Uchina. Teknolojia za hali ya juu kabisa zinazounda bidhaa hii hukifanya kwa bora sana .

Startimes ni maarufu imeenea sana Tanzania na baadhi ya nchi za Afrika huku kampuni ikiwa imedhamiria khakikisha inawafikia watumiaji wengi katika sehemu mbalimbali. King’amuzi hiki licha ya kusimamiwa na kampuni kubwa lakini bado haijakidhi mahitaji ya baadhi ya watanzania hasa wanaopenda kuona ubunifu mpya hususani juu ya ongezeko la channels kwa gharama wanayoweza kuimudu.

Licha ya hili Startimes ikumbukwe kuwa kwa upande wa burudani hasa kwa wapenda soka ndicho king’amzi chenye mksanyiko wa vifurushi vinavyomuwezesha mteja kufurahia LIGI ZA SOKA BORA NA MAARUFU ZAIDI DUNIANI. kwa gharama ndogo ukilinganisha na DSTV.

Kwa upande wa kiufundi king’amuzi hiki hakujawa na malalamiko mengi japokuwa matatizo ya kifundi hayana budi kutokea kutokana na sababu mbalimbali. King’amzi hiki kinazidi kutoa huduma nzuri kabisa nchini Tanzania huku kikijivunia kuwa moja ya ving’amuzi vyenye vitengo bora vya huduma kwa wateja nchini Tanzania.

#4.
TING HD
MAKAO MAKUU : Mbezi , Dar es salaam
NCHI: Tanzania
KILIANZISHWA: Mwaka 2009
MMILIKI: Tanzania intergrated network group
IDADI YA CHANNELS: 100+
IDADI YA VIFURUSHI : 3+
ENEO LA HUDUMA: Tanzania
TEKNOLOJIA:
D.T.T
High Definition
I.P.T.V
D.T.H
Digital cable

UBORA:
Picha
Sauti
Uwezo wa kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa
KAULI MBIU : ” BORA KULIKO ”
UMAARUFU [ Tanzania ]: #5

King’amuzi rahisi chenye gharama nafuu sana ,wateja wengi ubunifu wa hali ya juu ,uzoefu na huduma nzuri kwa mteja , bila shaka unakuwa hujakosea kutaja Ting HD King’amuzi bora sana nchi Tanzania huku kikitoa huduma nzuri kwa gharama ndogo kabisa kwa kila mwananchi . Ting ni king’amuzi ni moja ya ving’amuzi viwili vya awali kabisa kutoa huduma zake nchini Tanzania.

Kampuni mmiliki wa king’amuzi hiki inao uzoefu wa kutosha kuhusu utoaji wa huduma za kidigitali huku king’amuzi chake kikisifiwa kwa kutokuwa na matatizo mengi ya kiufundi.

Ting licha ya mafanikio haya bado haijawafikia wateja wa ving’amuzi kwenye nchi zingine lakini suala hili ni la kimikakati.
Ubora wa picha na sauti pamoja na ongezeko la channels kwa gharama ndogo hufanya king’amuzi hiki kiwe bora na maarufu nchini Tanzania.

#3.
ZUKU TV
MAKAO MAKUU : Mombasa road, Nairobi
NCHI: Kenya
KILIANZISHWA: Mwaka 2011
MMILIKI: Wananchi group
IDADI YA CHANNELS: 100+
IDADI YA VIFURUSHI : 4+
ENEO LA HUDUMA: Nchi 5
Kenya
Tanzania
Uganda
Zambia
Malawi
TEKNOLOJIA:
D.T.H
H.D
S.D
D.D.T.V

UBORA:
Picha
Sauti
Uwezo wa kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa
UMAARUFU [ Tanzania ]: #4

Mali ya Wananchi group kampuni yenye mafanikio sana ukanda wa Afrika mashariki kwenye upande wa kutoa burudani kwa familia nyumbani. king’amuzi cha Zuku Tv kinao ubora wa kujitosheleza sana kiasi cha kuaminiwa na kutumika na wananchi wa Afrika Mashariki na baadhi ya nchi jirani.

Hamu na umakini wa kampuni unafanya king’amuzi hiki kupata mafanikio makubwa kila kukicha huku wamiliki wakiwa na mipango ya kupanua huduma zao na kuwafikia watu wengi zaidi wenye mahitaji ya kidigital.

Matatizo ya kiufundi haya yapo kwa kila king’amuzi ingawa kwa upande wa Zuku yapo lakini ni ya kawaida ambayo hayana malalamiko sana kutoka kwa wateja huku suala hili likichangiwa sana na umakini wa kitendo cha huduma kwa wateja.
Zuku Tv ni moja ya king’amuzi bora Afrika mashariki na Tanzania.

#2.
DSTV
MAKAO MAKUU : MAKAO MAKUU : Randburg, Johhanesburg
NCHI: Afrika kusini
KILIANZISHWA: Mwaka 1995
MMILIKI: Multichoice
IDADI YA CHANNELS: 300+
IDADI YA VIFURUSHI : 10+
ENEO LA HUDUMA: Nchi 9
Afrika kusini
Tanzania
Kenya
Nigeria
Angola
Uganda
Zimbambwe
Mauritius
Ghana
TEKNOLOJIA:
H.D.M.I
High Definition 1080P
D.T.T/ D.D.T.V
DIGITAL CABLE

KAULI MBIU : “ Feel every moment ”
UMAARUFU [ Tanzania]: #2

Unapotaja ving’amuzi bora Tanzania na barani Afrika kwa ujumla kamwe huwezi kusahau kutaja jina la Digital Satelite Television maarufu sana kwa jina la
DSTV. Hiki ndio king’amuzi bora na maarufu zaidi barani Afrika kuliko king’amuzi chochote kile.

Ubora wa hali ya juu sana unaochangiwa na uzoefu wa muda mrefu , umakini , ubunifu bila ya kusahau huduma nzuri sana kwa wateja zilizo karibu, hakika vitu hivi hufanya king’amuzi hiki kuwa bora sana.
Kwa ukweli huu unaweza kujiuliza ” Ni kwa nini king’amuzi hiki ni cha #2 kwenye orodha hii ???!!! ” sababu ni >>>>>>>>>>>>>

Kiukweli gharama za king’amuzi hiki ni ghali ukilinganisha na matumizi pamoja na hali ya uchumi ya wateja wa ving’amuzi nchini Tanzania ambao wengi wao hawana uwezo wa kumudu gharama za vifurushi vya king’amuzi hiki. Mfano Kifurushi cha gharama ndogo cha king’amuzi hiki kina gharama ya Tsh 23,000/= gharama ambayo kwenye ving’amuzi vingine inaweza kumuwezesha mtu kununua vifurushi vya hadhi ya kati yaani Premium Packages.

Lakini hupaswi kasahau kuhusu ” kizuri kina gharama” .. Dstv ni king’amuzi kinachoongoza kwa kutoa burudani barani Afrika mfano mzuri wa burudani zinazotolewa na king’amuzi hiki ni Matangazo mbalimbali ya michezo .

King’amuzi hiki ndio nyumbani kwa michezo mingi sana ikiwemo Mchezo unaopendwa zaidi duniani mchezo wa Soka huku king’amuzi kikirusha kila mechi ya LIGI ZA SOKA BORA NA MAARUFU ZAIDI DUNIANI. na burudani nyingine nyingi sana ikiwemo Mziki, filamu na kadhalika. Ikumbukwe pia kuwa mwaka 2016 king’amuzi hiki kilichanguliwa kuwa mrusha matangazo rasmi wa michezo ya Olyimpiki jijini Rio de Janeiro.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Dstv ni king’amuzi maarufu chenye matumizi kila siku na bora sana nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla

#1.
AZAM TV
MAKAO MAKUU : Tazara, Dar es salaam
NCHI: Tanzania
KILIANZISHWA: Mwaka 2013
MMILIKI: Bakhresa group of companies
IDADI YA CHANNELS: 100+
IDADI YA VIFURUSHI : 4
ENEO LA HUDUMA: Nchi 5
Tanzania
Kenya
Uganda
Rwanda
Malawi
TEKNOLOJIA:
High Definition Multimedia Interface
HD 1080P
Digital Terrestial Television D.T.T
Digital cable
UBORA:
Picha
Sauti
Uwezo wa kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa
KAULI MBIU : “ Burudani kwa wote ”
UMAARUFU [ Tanzania ]: #1

” Burudani kwa wote ” au kwa kiingereza ” Entertainment for everybody ” Huu ndio msemo maarufu sana ambao pindi unapotamkwa moja kwa moja mtumiaji wa digital Tv anaelewa ni king’amuzi gani kinakuwa kikizungumziwa. Sio siri hata kidogo bila mizengwe king’amuzi cha Azam Tv ni bora sana na asilimia kubwa ya watu wanajua hili.

Kikiwa kinaungwa mkono na teknolojia ya hali ya juu yenye kupelekea mwonekano ang’avu yaani HD wa channels zake . Mbali na hayo king’amuzi hiki kinaongozwa na ubunifu wa pekee na wa kisasa wenye kukidhi mahitaji ya wateja wake kwa gharama za kawaida.

Kikiwa na channels za kutoa habari , vipindi vya watoto , elimu na sayansi, dini pamoja bila kusahau burudani hapo king’amuzi hiki kimejidhihirishia ubora wake kwa kuwa na channels za burudani zinazopendwa sana, Mfano channel ya
Sinema zetu ambayo inaonyesha filamu za kiTanzania kwa asilimia 100% na
Azam sports HD ambayo inahakikisha mteja wa king’amuzi hiki hapitwi na mechi yoyote ya Ligi bora kabisa duniani LA LIGA

# ORODHA KWA NAMBA
1. Azam Tv
2. Dstv
3. Zuku Tv
4. Ting HD
5. Startimes
6. Continental decoder
My take; Dialo kashika mkia
 
Baada ya kuhamia rasmi kwenye mfumo wa kisasa wa kurushia matangazo ya satelite (digital) nchi ya Tanzania Imeshuhudia huduma za ving’amuzi kwa ajiri ya matangazo ya runinga kwa namna ya kisasa kabisa.
Ubora na umaarufu wa king’amuzi husika hutegemea
Ubora wa kurusha matangazo.
Ubora wa vifurushi.
Uwezo wa king’amuzi kutoa huduma bila matatizo yoyote ya kiufundi ya mara kwa mara.
Uzuri wa picha na sauti wa king’amuzi husika.
Wingi wa channels.
Eneo la utoaji wa huduma wa king’amuzi husika.
Ubunifu pamoja na channels zenye kutazamwa sana N. K
Kwa vigezo hivyo na vingine hivi ndio ving’amuzi bora na maarufu zaidi vyenye wateja wengi zaidi nchini Tanzania.
#6.
The CONTINENTAL DECODER
MAKAO MAKUU : Ilemela, Mwanza
NCHI: Tanzania
KILIANZISHWA: Mwaka 2013
MMILIKI: Sahara media group
IDADI YA CHANNELS: 50+
IDADI YA VIFURUSHI : 4+
ENEO LA HUDUMA: Nchi moja [ Tanzania ]
TEKNOLOJIA:
D.T.T / D.D.T.V
HD
I.P.T.V
Digital cable
UBORA:
Picha
Sauti
Uwezo wa kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa:
KAULI MBIU : “The quality to talk about”
UMAARUFU [Tanzania] : #2
Uzalendo pamoja na uchu wa kuhakikisha watanzania wanaondokana na mfumo wa kianalogia king’amuzi hiki kiko mstari wa mbele kabisa kwenye suala hili. Continental ni king’amuzi chenye idadi ya watumiaji wengi nchini Tanzania huku kampuni ikiwa na mipango ya kusambaza huduma katika nchi mbalimbali. Na inasadikika kuwa king’amuzi hiki ndicho kinachoongoza kwenye teknolojia ya kisasa kabisa ya
Digital Terrestial Television yaani D.D.T.
Teknolojia hii ni mapindunzi makubwa sana katika ulinwengu wa television na digital kwa ujumla huku ikiwa imeboresha sana mwonekano na sauti kwenye runinga. Continental decorder inajitahidi sana licha ya matatizo ya kiufundi, kitendo cha huduma kwa wateja pamoja na kutosambaa nchi nyingi kama watumaji wake wanavyodai.
Kampuni mmiliki wa king’amuzi hiki Sahara media group ni kampuni makini sana ambayo imani ya wengi kutokana na mafanikio ya kampuni hii inapelekea kuamini tatizo lolote litakalojitokeza linatatuliwa kutokana na maboresho yanayoendelea kila siku.
Licha ya hayo Continental decorder ni king’amuzi bora na maarufu sana chenye matumizi sehemu nyingi nchini Tanzania.
#5 .
STARTIMES
MAKAO MAKUU : Beijing
NCHI: China
KILIANZISHWA: Mwaka 1988
MMILIKI: Startimes digital group
IDADI YA CHANNELS: 150 +
IDADI YA VIFURUSHI : 6+
ENEO LA HUDUMA [ Afrika ] : Nchi 7
Tanzania
Kenya
Uganda
Rwanda
Afrika ya kati
Nigeria
Afrika kusini
TEKNOLOJIA:
D.D.T.V
H.D
D.T.H
Digital cable & Non cable Digital Tv
UBORA:
Picha
Sauti
Uwezo wa kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa:
KAULI MBIU : ” Enjoy Digital Life ”
Ni ukweli usiopingika hata kidogo kuhusu ubora wa king’amuzi hiki ambacho ni moja ya ving’amzi vya awali kabisa kutoa huduma za kidigital nchini Tanzania. Kampuni inyomiliki king’amuzi hiki ni wazi kwamba ni kampuni kubwa duniani kutoka nchini Uchina. Teknolojia za hali ya juu kabisa zinazounda bidhaa hii hukifanya kwa bora sana .
Startimes ni maarufu imeenea sana Tanzania na baadhi ya nchi za Afrika huku kampuni ikiwa imedhamiria khakikisha inawafikia watumiaji wengi katika sehemu mbalimbali. King’amuzi hiki licha ya kusimamiwa na kampuni kubwa lakini bado haijakidhi mahitaji ya baadhi ya watanzania hasa wanaopenda kuona ubunifu mpya hususani juu ya ongezeko la channels kwa gharama wanayoweza kuimudu.
Licha ya hili Startimes ikumbukwe kuwa kwa upande wa burudani hasa kwa wapenda soka ndicho king’amzi chenye mksanyiko wa vifurushi vinavyomuwezesha mteja kufurahia LIGI ZA SOKA BORA NA MAARUFU ZAIDI DUNIANI. kwa gharama ndogo ukilinganisha na DSTV.
Kwa upande wa kiufundi king’amuzi hiki hakujawa na malalamiko mengi japokuwa matatizo ya kifundi hayana budi kutokea kutokana na sababu mbalimbali. King’amzi hiki kinazidi kutoa huduma nzuri kabisa nchini Tanzania huku kikijivunia kuwa moja ya ving’amuzi vyenye vitengo bora vya huduma kwa wateja nchini Tanzania.
#4.
TING HD
MAKAO MAKUU : Mbezi , Dar es salaam
NCHI: Tanzania
KILIANZISHWA: Mwaka 2009
MMILIKI: Tanzania intergrated network group
IDADI YA CHANNELS: 100+
IDADI YA VIFURUSHI : 3+
ENEO LA HUDUMA: Tanzania
TEKNOLOJIA:
D.T.T
High Definition
I.P.T.V
D.T.H
Digital cable
UBORA:
Picha
Sauti
Uwezo wa kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa
KAULI MBIU : ” BORA KULIKO ”
UMAARUFU [ Tanzania ]: #5
King’amuzi rahisi chenye gharama nafuu sana ,wateja wengi ubunifu wa hali ya juu ,uzoefu na huduma nzuri kwa mteja , bila shaka unakuwa hujakosea kutaja Ting HD King’amuzi bora sana nchi Tanzania huku kikitoa huduma nzuri kwa gharama ndogo kabisa kwa kila mwananchi . Ting ni king’amuzi ni moja ya ving’amuzi viwili vya awali kabisa kutoa huduma zake nchini Tanzania. Kampuni mmiliki wa king’amuzi hiki inao uzoefu wa kutosha kuhusu utoaji wa huduma za kidigitali huku king’amuzi chake kikisifiwa kwa kutokuwa na matatizo mengi ya kiufundi.
Ting licha ya mafanikio haya bado haijawafikia wateja wa ving’amuzi kwenye nchi zingine lakini suala hili ni la kimikakati.
Ubora wa picha na sauti pamoja na ongezeko la channels kwa gharama ndogo hufanya king’amuzi hiki kiwe bora na maarufu nchini Tanzania.
#3.
ZUKU TV
MAKAO MAKUU : Mombasa road, Nairobi
NCHI: Kenya
KILIANZISHWA: Mwaka 2011
MMILIKI: Wananchi group
IDADI YA CHANNELS: 100+
IDADI YA VIFURUSHI : 4+
ENEO LA HUDUMA: Nchi 5
Kenya
Tanzania
Uganda
Zambia
Malawi
TEKNOLOJIA:
D.T.H
H.D
S.D
D.D.T.V
UBORA:
Picha
Sauti
Uwezo wa kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa
UMAARUFU [ Tanzania ]: #4
Mali ya Wananchi group kampuni yenye mafanikio sana ukanda wa Afrika mashariki kwenye upande wa kutoa burudani kwa familia nyumbani. king’amuzi cha Zuku Tv kinao ubora wa kujitosheleza sana kiasi cha kuaminiwa na kutumika na wananchi wa Afrika Mashariki na baadhi ya nchi jirani.
Hamu na umakini wa kampuni unafanya king’amuzi hiki kupata mafanikio makubwa kila kukicha huku wamiliki wakiwa na mipango ya kupanua huduma zao na kuwafikia watu wengi zaidi wenye mahitaji ya kidigital.
Matatizo ya kiufundi haya yapo kwa kila king’amuzi ingawa kwa upande wa Zuku yapo lakini ni ya kawaida ambayo hayana malalamiko sana kutoka kwa wateja huku suala hili likichangiwa sana na umakini wa kitendo cha huduma kwa wateja.
Zuku Tv ni moja ya king’amuzi bora Afrika mashariki na Tanzania.
#2.
DSTV
MAKAO MAKUU : MAKAO MAKUU : Randburg, Johhanesburg
NCHI: Afrika kusini
KILIANZISHWA: Mwaka 1995
MMILIKI: Multichoice
IDADI YA CHANNELS: 300+
IDADI YA VIFURUSHI : 10+
ENEO LA HUDUMA: Nchi 9
Afrika kusini
Tanzania
Kenya
Nigeria
Angola
Uganda
Zimbambwe
Mauritius
Ghana
TEKNOLOJIA:
H.D.M.I
High Definition 1080P
D.T.T/ D.D.T.V
DIGITAL CABLE
D.T.H
UBORA:
Picha
Sauti
Uwezo wa kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa
KAULI MBIU : “ Feel every moment ”
UMAARUFU [ Tanzania]: #2
Unapotaja ving’amuzi bora Tanzania na barani Afrika kwa ujumla kamwe huwezi kusahau kutaja jina la Digital Satelite Television maarufu sana kwa jina la
DSTV. Hiki ndio king’amuzi bora na maarufu zaidi barani Afrika kuliko king’amuzi chochote kile.
Ubora wa hali ya juu sana unaochangiwa na uzoefu wa muda mrefu , umakini , ubunifu bila ya kusahau huduma nzuri sana kwa wateja zilizo karibu, hakika vitu hivi hufanya king’amuzi hiki kuwa bora sana.
Kwa ukweli huu unaweza kujiuliza ” Ni kwa nini king’amuzi hiki ni cha #2 kwenye orodha hii ???!!! ” sababu ni >>>>>>>>>>>>>
Kiukweli gharama za king’amuzi hiki ni ghali ukilinganisha na matumizi pamoja na hali ya uchumi ya wateja wa ving’amuzi nchini Tanzania ambao wengi wao hawana uwezo wa kumudu gharama za vifurushi vya king’amuzi hiki. Mfano Kifurushi cha gharama ndogo cha king’amuzi hiki kina gharama ya Tsh 23,000/= gharama ambayo kwenye ving’amuzi vingine inaweza kumuwezesha mtu kununua vifurushi vya hadhi ya kati yaani Premium Packages.
Lakini hupaswi kasahau kuhusu ” kizuri kina gharama” .. Dstv ni king’amuzi kinachoongoza kwa kutoa burudani barani Afrika mfano mzuri wa burudani zinazotolewa na king’amuzi hiki ni Matangazo mbalimbali ya michezo . King’amuzi hiki ndio nyumbani kwa michezo mingi sana ikiwemo Mchezo unaopendwa zaidi duniani mchezo wa
Soka huku king’amuzi kikirusha kila mechi ya LIGI ZA SOKA BORA NA MAARUFU ZAIDI DUNIANI. na burudani nyingine nyingi sana ikiwemo Mziki, filamu na kadhalika. Ikumbukwe pia kuwa mwaka 2016 king’amuzi hiki kilichanguliwa kuwa mrusha matangazo rasmi wa michezo ya Olyimpiki jijini Rio de Janeiro.

Acha kulinganisha Dstv na vitu vya hovyohovyo.
 
O

of all, AZAM is the best
 
Sikubaliani DSTV kuwa namba 2 afu azam kuwa namba 1, eti katika nyanja ya ubora wa matangazo. Dstv wapo vizuri sana sema sababu ya gharama ndio maana wengi hawafungi king'amuzi hiki. Azam unaweza rewind matukio ya juzi au kuweka pause mechi au tukio lolote. Fanya uchunguzi wa kina mkuu.
 
Back
Top Bottom