Top 20 ya wasichana wazuri afrika.

Top 20 ya wasichana wazuri afrika.

a-alulu-hassan.jpg

Anaitwa Lulu Hasani presenter ,Kenya
 
Kidoti na Matata ni wazuri tuache utani.
Naona hata tabia zao pia.
Ingawa kidoti alichafuliwa kidogo na dymond, lakini alichukulia yote kwa busara kubwa....
Matata ni mrembo lakini hapo chini ya kitovu mbona kama kimlima kimezidi, au ndiyo mambo ya kubarikiwa yenyewe?
 
Huyo No.1 mbona amekaa kama ananyanyua vitu vizitoo...
 
Mleta mada angeanza kwanza na definition ya 'msichana' kwa sababu Namba 10 ninavyomfahamu ana mume na watoto wawili. Baada ya kusema hivyo, nimemzimia sana namba 14 jinsi anavyofanana na Dena Amsi
 
Last edited by a moderator:
jackieappiah.jpg
Huyu ni FP wa JF refer avatar yake na uhalisia wake unadhihirisha jinsi alivyo mrembo hivyo hivyo.








527756_omotolacelebregion_jpgc8f41b90b9e6ca51a8f2ab8c2a93f274


Huyu ni sakapal wa JF refer profile picture yake. Uhalisia wake siusemi walioniona na wanifahamuo ndo watasema.

Ni mtazamo wangu tuu kwa FP na sakapal wa JF.
 
Last edited by a moderator:
ha haaaa, asante kwa kuniita nijiangalie nilivyo mrembo, lol!
hivi Sakapal siyo Ini Edo kweli?
images

Ini Edo ni avatar ya sakapal ila Omotola ndo profile picture ya sakapal nilipoiona hiyo picha ya avatar yako nikajiuliza nimemuona wapi ndo nikakumbuka ni FP mie tabasamu la huyo dada ndo linaniacha hoii
 
Last edited by a moderator:
hao make up tu,kuna wadada kule somanda tena bila make up,hao hawaingii hata kidogo
 
huyo mdada nampenda sana, hata sinema zake napenda kuziangalia

hivi ni uzuri gani unazungumziwa hapa? Yvone nae mzuri? masihara haya! huyo jokate mbona wa kawaida tu, huyo Jackie mie nampenda balaa, ana jicho mrembo yule mashalaah
 
Kidoti na Matata ni wazuri tuache utani.
Naona hata tabia zao pia.
Ingawa kidoti alichafuliwa kidogo na dymond, lakini alichukulia yote kwa busara kubwa....

hahahahah haya unawataka we waoe tuu wanamambo ya chinichini hao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom