Top 20 ya wasichana wazuri afrika.

Top 20 ya wasichana wazuri afrika.

Hapa anayemzidi mke wangu ni Nancy Sumari tu...honestly huwa ni mrembo wengine sioni kama wataingia ligi nae....natamani ningeweka picha yake hapa but...for the sake of privacy nooop.
 

kweli ni warembo



.....ujinga wa 'mfumo dume'...
Wanaume hao hao ukute nao wana wapenzi zaidi ya mmoja.

Uzuri wa mwanamke tabia. Urembo wa sura na umbo ni kwa wenye macho, i.e kwa wasioona it's irrelevant. All in all, my pick is Flaviana Matata,....natural beau.
 
jackieappiah.jpg
1. Jackie Appiah................Ghanaian Actress.





images
2. Yvone Nelson............Ghanaian Actress.



527756_omotolacelebregion_jpgc8f41b90b9e6ca51a8f2ab8c2a93f274


3. OMOTOLA JELADE a.k.a OMOSEX..............NOLLYWOOD ACTRESS.




images
4. genevive Nnaji...Nollywood Actress.





jokatebc.jpg
5. Jokate Mwegelo, Tanzanian Model & Entrepreneur.




n719178379_1193590_9574%5B1%5D.jpg


6. Nancy Sumari.................Former Miss Tanzania/Miss World Finalist turned model & Entrepreneur.



Nadia-Buari1.jpg
7. Nadia Buhari...........A Ghanaian Actress.



Juliet-Ibrahim-Short-Hair.jpg


8. Jullieth Ibrahim................Ghanaian Actress.




universe7_gallery__278x400.jpg


9. FLAVIANA MATATA..................Tanzanian International Supr Model.



k-lynn.jpg



1o. Jacqueline Ntuyabiliwe............Miss Tanzania 2010.



618w_angola_leila_lopes.jpg



11. Leila Lopez..................Miss Universe Angola.



lee-ann-liebenberg-b3ffb.jpg


12. Lee ann Liebenberg.........................South Africa.




May%20(Mai)%20Kassab.jpg



13. Mai Kassab .....................Egypt.



929388_5156150287_a10f79ea76_z_jpg777ce3a341798a3e132600da728aa786


14. Nasra Ali................Kenyan Journalist.


117584_mmiss_niger_jpgc577fd291452359888ac506bafd6db06


15. Miss Guinea Conakry 2010.


Nisiwe mchoyo, nafasi ya 16-20 nawaachia wana jamvi wengine watiririke.

MY TAKE : WANAWAKE WAZURI WA KIAFRIKA NI WAZURI KULIKO WANAWAKE WA RACE YOYOTE ILE DUNIANI....

Mama Mengi ni Miss Tanzania 2000 na sio 2010.
 
Wacha wivu..Wape sifa zao...Maajabu ya uumbaji wa Mungu alaaa!!!!

hahaaaa....maajabu ya Mungu?! Binadamu yeyote ni maajabu ya Mungu, na ndio maana wanasayansi wanakesha maabara kutafuta namna ya kumtengeneza binadamu lakini wameshindwa. wataweza kufanikiwa kuutengeneza mwili lakini hawatoweza kuitengeneza roho ya mwanadamu! weekend njema kamanda!
 
Nilibahat9ika kumuona Jokate LIVE.........Jamaaaani..........
 
jackie Apiah is beautiful..
Nadia yuko classy..
Tanzania:Nancy.
 
HAYO NI MAONI YANGU BINAFSI, BASED ON MY PERSONAL RESEARCH ....Hao ni wanao julikana, wapo wasio julikana ambao pengine waweza kuwa wazuri kuliko hao, but siwezi kuweka picha zao hapa mtandaoni kwa sababu za kiethics. Unaweza kuweka maoni yako pia.

Ni kweli kabisa , kwa sbb hao atlist wana uwezo wa kufanya waonekane warembo kila siku , apart of being called kioo cha jamii ,, ila huku kitaa wapo kibao warembo zaidi yao!!!
 
wanawake wote wazuri ndungu muandishi.Asiyeumba haumbui hata sekunde moja.
 
Unaposema wasichana wazuri unatumia kigezo kipi mpaka kumchagua msichana flani mzuri?. After all 99% ya uliowataja ni wale wenye access ya kuonekana kwenye TV mara kwa mara. Vipi na madada wengine ambao hawana access ya kuonekana kwenye TV?. Hauoni sample yako ulivyoichagua haitowakilisha madada wote wazuri wa africa katika hivyo vigezo ambavyo utakuwa umetumia?
jackieappiah.jpg
1. Jackie Appiah................Ghanaian Actress.





images
2. Yvone Nelson............Ghanaian Actress.



527756_omotolacelebregion_jpgc8f41b90b9e6ca51a8f2ab8c2a93f274


3. OMOTOLA JELADE a.k.a OMOSEX..............NOLLYWOOD ACTRESS.




images
4. genevive Nnaji...Nollywood Actress.





jokatebc.jpg
5. Jokate Mwegelo, Tanzanian Model & Entrepreneur.




n719178379_1193590_9574%5B1%5D.jpg


6. Nancy Sumari.................Former Miss Tanzania/Miss World Finalist turned model & Entrepreneur.



Nadia-Buari1.jpg
7. Nadia Buhari...........A Ghanaian Actress.



Juliet-Ibrahim-Short-Hair.jpg


8. Jullieth Ibrahim................Ghanaian Actress.




universe7_gallery__278x400.jpg


9. FLAVIANA MATATA..................Tanzanian International Supr Model.



k-lynn.jpg



1o. Jacqueline Ntuyabiliwe............Miss Tanzania 2000.



618w_angola_leila_lopes.jpg



11. Leila Lopez..................Miss Universe Angola.



lee-ann-liebenberg-b3ffb.jpg


12. Lee ann Liebenberg.........................South Africa.




May%20(Mai)%20Kassab.jpg



13. Mai Kassab .....................Egypt.



929388_5156150287_a10f79ea76_z_jpg777ce3a341798a3e132600da728aa786


14. Nasra Ali................Kenyan Journalist.


117584_mmiss_niger_jpgc577fd291452359888ac506bafd6db06


15. Miss Guinea Conakry 2010.


Nisiwe mchoyo, nafasi ya 16-20 nawaachia wana jamvi wengine watiririke.

MY TAKE : WANAWAKE WAZURI WA KIAFRIKA NI WAZURI KULIKO WANAWAKE WA RACE YOYOTE ILE DUNIANI....
 
naomba kujua umetumia vigezo gani vya kuwaita warembo na wazuri Africa na umewafananisha na nani hadi useme ati ni warembo na wazuri Africa,kama kigezo chako kilikuwa ni wasichana waliopitia umiss,au umodo au actress labda but remember kuwa umodo,umiss or kuwa actress sio sifa au kigezo cha uzuri..mim demu wangu tu ni mzuri sana na hakuna hata mmoja kati ya warembo wako hao anayemfikia

Wewe dem wako...mimi mke wangu kabisa ni super beautiful hapo hakuna wa kumfuatia!
 
Yaani Kidoti na Matata hamna kitu bora ungeweka Happiness Magese
 
Hivi na mimi nikitupia mapoouudaa, wanja, lipstick, foundation na mazagazaga yote ya usoni............., nitashika namba ngapi au mpaka nikacheze film?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom