Fasouls
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 937
- 321
au unamaanisha maarufu?kuna wazuri wengi hawaoonwa na huyo reporter.
you cant determine the beutifulness of the unseen
au unamaanisha maarufu?kuna wazuri wengi hawaoonwa na huyo reporter.
umeona eeeh!hivi ni uzuri gani unazungumziwa hapa? Yvone nae mzuri? masihara haya! huyo jokate mbona wa kawaida tu, huyo Jackie mie nampenda balaa, ana jicho mrembo yule mashalaah
hivi ni uzuri gani unazungumziwa hapa? Yvone nae mzuri? masihara haya! huyo jokate mbona wa kawaida tu, huyo Jackie mie nampenda balaa, ana jicho mrembo yule mashalaah
you cant determine the beutifulness of the unseen
Matata ni mrembo lakini hapo chini ya kitovu mbona kama kimlima kimezidi, au ndiyo mambo ya kubarikiwa yenyewe?
HAYO NI MAONI YANGU BINAFSI, BASED ON MY PERSONAL RESEARCH ....Hao ni wanao julikana, wapo wasio julikana ambao pengine waweza kuwa wazuri kuliko hao, but siwezi kuweka picha zao hapa mtandaoni kwa sababu za kiethics. Unaweza kuweka maoni yako pia.
nilikuwa nawangalia sura zao kwa umakini wa hali ya juu sana,kila mmoja nimemchunguza ipasavyo,nilikuwa nacheki macho,pua na mdomo,mashavu na rangi pia,kila kimoja nilikuwa nafananisha uso wa mke wangu,kama hao ndio the 20 best beautiful in Africa,basi mke wangu kumbe ni mzuri vibaya mno,kumbe najua kuchagua mie
Mtoa mada amesahau kusema kuwa, ''the beauty is on the eye of the beholder''.
Nimekosa vigezo vilivyotumika kumuweka huyu!Wengi wao mix blood au siyo?
Mungu akuweke, Na mupate vizazi vema.Ninaamini Nina mke mzuri kuliko hao wote!! Labda kwa kua sio celebrity!!
Mwembamba na mrefu....msomi yupo kitamaduni!!Nimekosa vigezo vilivyotumika kumuweka huyu!
![]()