Top 20 ya wasichana wazuri afrika.

naomba kujua umetumia vigezo gani vya kuwaita warembo na wazuri Africa na umewafananisha na nani hadi useme ati ni warembo na wazuri Africa,kama kigezo chako kilikuwa ni wasichana waliopitia umiss,au umodo au actress labda but remember kuwa umodo,umiss or kuwa actress sio sifa au kigezo cha uzuri..mim demu wangu tu ni mzuri sana na hakuna hata mmoja kati ya warembo wako hao anayemfikia
 
Roza mistika

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nashangaa kwa kweli. Hata kama mimi haujanitaja, mke wa binamu yangu ni mzuri kuliko hawa. Ana ngozi nzuri, mwili mzima yuko kama amepakwa foundation na poda hadi unyayo. Na hapo anaogea mbuni na kujipaka lotion ambayo nilipomuuliza inauzwa kama tzs 8000 hivi kwa mls 750! Anakaa kijijini. Uso uko spotless na anajipakaa poda inaitwa sijui abc?

Nadhani tunaongea juu ya warembo maarufu.
 
au unamaanisha maarufu?kuna wazuri wengi hawaoonwa na huyo reporter.

Huu ni utoto huu, hii ID ya LIKUD itakuwa inatumika na akina Jokate na wenzake, huwezi kuwa serious kujiweka kwenye Top 20 Mwanamke kama wewe, uzuri upo machoni kwa watazamaji mimi nikiwa Mtazamaji niliyewahi kuona watoto wa kisomali na Kinyarwanda umenikwaza sana. Eti kwenye top 20 wapo wabongo watatu? au Uzuri unamaanisha nini maana nikikushindanisha na hata mama yoyo wangu hufui Dafu.
 
Ndio maana shingo hazikufanya kuwa fixed..so we could always turn and admire God's creation!!!:nod::nod::nod:
 

kweli ni warembo



Ndio ni warembo lakini sio wote ni wazuri...huyo wa 15 hana mvuto kabisaaaaa_ila ni mrembo....wa 3 huyo mnijeria i.e omosex ni she is real sex...so to speak....halafu wala hawakufikii kwa uzuri Passion lady_sema wao wanajulikana.
 
Ndio ni warembo lakini sio wote ni wazuri...huyo wa 15 hana mvuto kabisaaaaa_ila ni mrembo....wa 3 huyo mnijeria i.e omosex ni she is real sex...so to speak....halafu wala hawakufikii kwa uzuri Passion lady_sema wao wanajulikana.

umeona eeeee,halafu kuna
tofauti kati ya uzuri na urembo ujue
hao ni warembo,mzuri ni yule mwenye muonekano
wa asili,yani ambae hajajikoroga na mavitu
akitoka usingizini anavutia,so hapo ni ngumu kumjua mzuri ni yupi!!
 
Kidoti na Matata ni wazuri tuache utani.
Naona hata tabia zao pia.
Ingawa kidoti alichafuliwa kidogo na dymond, lakini alichukulia yote kwa busara kubwa....

alijichafua mwenyewe kwani nani alimtuma ashoboke kwa pilipili ya warembo, lazma imchafue!
 
mmh ni wazuri na warembo lakini kaburi halichagui wabaya na kuwaacha wazuri!!! walikuwepo akina Cleopatra lakini ibaki historia! Huko Ukerewe alikuwepo binti mrembo isivyo kawaida, aliitwa Dorica...aliuawa kinyama wakati akiwa Chuo cha ualimu Murutunguru...ikabaki historia na walio hai wakatunga wimbo kusifia uzuri wake!

Wacha wivu..Wape sifa zao...Maajabu ya uumbaji wa Mungu alaaa!!!!
 
HAYO NI MAONI YANGU BINAFSI, BASED ON MY PERSONAL RESEARCH ....Hao ni wanao julikana, wapo wasio julikana ambao pengine waweza kuwa wazuri kuliko hao, but siwezi kuweka picha zao hapa mtandaoni kwa sababu za kiethics. Unaweza kuweka maoni yako pia.

Inaonekana imenivutia sana hadith yake
 
zuhura yunus wa bbc unamfahamu. ni mrembo kuliko wote hao!

Kuna Walimbwende watangazaji wa Citizen Nipashe ya Kenya ..Dahhhh wacha kabisa hasa yule anayefunga ushungi...Huwa nataman Citizen Nipashe isiishe..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom