Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,779
- 14,311
Maggid mjengwa blog yake nae huwa ni matata saana. Mbona siioni? Au Le mutuz anamhujumu?
Ndio mfuko gani huo bosswatu wana total visitors tririon 1 aisee spati picha mfuko wa adsense umetunaje
Ndio mfuko gani huo boss
Jf nisingeiona kwenye namba moja ningeandamanaHii ni Kutokana na Mtandao wa Alexa Siku ya Leo, Nimechambua zile za Tanzania tu kuacha zile za nje kama facebook, Instagram na zingine nyingi za nje...
Msimamo wa ligi uko hivi:
1.Jamiiforums.com
2.Zoomtanzania.com
3.Millardayo.com
4.Mwananchi.co.tz
5.Ajira.go.tz
6.Tra.go.tz
7.Mpekuzihuru.com
8.Tanzaniatoday.co.tz
9.Kupatana.com
10.Udakuspecially.com
Watanzania wanapenda sana udaku hivyo sina shaka kabisa na listIna maana michuzi anashindwa now hata na udaku specially?
Kamoooooniiiiii, alaaaaa, Asante Bosikama una blog au website, bas ukijiunga na google adsense utapata matangazo kwenye website yako ambayo yatakuingizia dollar pale mtu atapoyabonyeza au unapopata views nyingi na dollar zinapanda. mwisho wa siku unaenda kutoa dollar zako kwa western union bila makato wala nini dolllar zile zile ulizovuna.
Asingeiweka, au isingekuwemo?Usingeiweka JAMII FORUMS namba MOJA ungenisababishia BAN sasa hivi! Bahati yako ila pongezi sana kwani JAMII FORUMS ndiyo namba MOJA na wengine wanafuata. Vizuri sana Mkuu na kula gwala langu!
Katika watu ambao siwapendi humu ndaniLe Mutuz ni mbabaishaji na msaka umaarufu kwa juhudi kubwa.. u know
Ajira sio kufanya benki tuuu, hata katika tasnia ya entertainment ni ajira, njoo uone waindi walivyowekeza katika Video films. Wanapiga pesa nyingi. Kwa iyo ili pesa ipatikane inatakiwa itengenezwe kama skendo fulani watu wapige pesa.kwa list hiyo inaonyesha kuna ukosefu mkubwa wa ajira Tanzania maana kati ya hizo blog 10,za habari zinazohusu ajira 2 zinahusiana na ajira moja kwa moja