JamiiForums Imewezaje Kuipita Facebook na Yahoo kwa Watembeleaj wengi?

miki123

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
216
500
Miaka mitatu iliyopita jamiiforums ilishushwa umaarufu wake na millardayo kwa kuwa na watembeleaji wengi.

Lakini takwimu za leo za Top Sites in Tanzania - Alexa
Zinaonyesha JF ndio mtandao wa tatu tz kwa kuwa na watembeleaji wengi na kuzipita facebook na yahoo.
Home of great thinkers imezidiwa na google.com pamoja youtube.com
Kinachonishangaza watz wengi bado hawaifahamu Jamiiforums ukilinganisha na Facebook hapa ndipo ninapojiuliza wamewezaje.

Hii ni list ya tovuti 50 zinazotembelewa sana kwa mujibu wa alexa rankings.

1. Google.com
2. YouTube.com
3. JamiiForums.com
4. Yahoo.com
5. Facebook.com
6. Blogspot.com
7. Wikipedia
8. Ajira.com
9. Mkekabet.com
10. Xvideo.com
11. Google.co.tz
12.Instagram
13.Livescore.com
14.Ghafla.com
15.Meridianbet.co.tz
16. M-bet
17.yts.am
18. Softonic.com
19. Tra.go.tz
20. Miraldayo.com
21. Ask.com
22.Bbc.com
23. Researchgate.com
24. DjMwanga.com
25. Afrtrk.com
26. Necta.go.tz
27. Moneymake.site
28. Befoward.jp
29. 1337x.to
30. Zoomtanzania.com
31. Porn55.com
32. Sportpesa.co.tz
33. Live.com
34. Microsoft.com
35. Myway.com
36. Mwananchi.co.tz
37. Notjustok.com
38. Mpekuzihuru.com
39. Mabumbe.com
40. Amazon.com
41. Bodelen.com
42. Stackoverflow.com
43. Out.ac.tz
44. Flashscore.com
45. Cobalten.com
46. Yingamedia.com
47. Premierbet.com
48. Pornhub.com
49. Savefrom.net
50. Tweeter.com

Umegundua nn?
Mimi nilichogundua watz wengi ni wacheza kamari wakubwa na watazamaji wa porn wa hali juu.
Angalia idadi ya tovuti za mambo ya kubeti zilivyo nyingi.
 
Ricecooker

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
486
1,000
In kwe
Shida ya sie member wa JF wengi ni adicted unaweza shinda humu 24 hours bila wasiwasi
Ni kweli Mimi siwezi kupitisha 1 hour kama Niko free bila kuingia jf.Siku wakiamua kuipiga promo ya matangazo kwenye redio na mabango,watakimbiza sana.Tatizo la milard ayo imeshuka kutokana na uoga wake maana amekuwa kama tbc au globalpublisher
 
Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,804
2,000
facebook na Instagram ndio site zenye watembeleaji wengi Tanzania, hili hutakiwi kuambiwa na hao Alexa wala nini,lipo obvious kabisa

Mtaani unaeza kuuliza watu hata 10 kuhusu Jamiiforums na 7 wakawa hawaijui kabisa, ila Facebook hata wasiojua kusoma, watoto na wazee wanaifahamu.
Hakuna mtu mwenye smartfone asiyefahamu facebook, tena Tigo na Vodacom wanaitumia kwenye promotion kukuambia kuwa watakuwezesha kuitembelea bila data

JF inafahamika kwa watu wanaofuatilia sana mambo, mpaka sasa hivi haina hata wanachama laki 5, Instagram kuna wabongo kibao tu wenye akaunti zilizozidi followers milioni 2, milioni 1 ndio usiseme

Facebook kuna magroup na page za kitanzania zenye mamilioni ya members na followers

Nimeambiwa Alexa inaangalia watembeleaji wanaotumia browser tu, ndio maana JF imekuwa juu ila ingekuwa inaangalia kwa jumla ( wanaotumia app na browser) JF ingeachwa mbali...FB na IG ni kupitia app kwa asilimia kubwa
 
n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
981
500
facebook na Instagram ndio site zenye watembeleaji wengi Tanzania, hili hutakiwi kuambiwa na hao Alexa wala nini,lipo obvious kabisa
Mtaani unaeza kuuliza watu hata 10 kuhusu Jamiiforums na 7 wakawa hawaijui kabisa, ila Facebook hata bibi wa kijiji anaifahamu
Nikusaidie na pia kwa mwanzisha mada na wengine:

Metrics za Alexa zinaangalia tovuti zinavyotembelewa kwa kutumia browser na si app.

Ni ukweli usiopingika kuwa watu wataenda ku-Google na wataitembelea YouTube kwa browser kabla haijawa-redirect kwenda kwenye app.

Sasa, Facebook, Twitter na Instagram zipo zaidi kwa watumiaji wa app zaidi ya web browser.

JF ikiweka nguvu zaidi kwenye app, itaondoka kwenye hiyo nafasi naamini
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,455
2,000
Miaka mitatu iliyopita jamiiforums ilishushwa umaarufu wake na millardayo kwa kuwa na watembeleaji wengi.

Lakini takwimu za leo za Top Sites in Tanzania - Alexa
Zinaonyesha JF ndio mtandao wa tatu tz kwa kuwa na watembeleaji wengi na kuzipita facebook na yahoo.
Home of great thinkers imezidiwa na google.com pamoja youtube.com
Kinachonishangaza watz wengi bado hawaifahamu Jamiiforums ukilinganisha na Facebook hapa ndipo ninapojiuliza wamewezaje.

Hii ni list ya tovuti 50 zinazotembelewa sana kwa mujibu wa alexa rankings.

1. Google.com
2. YouTube.com
3. JamiiForums.com
4. Yahoo.com
5. Facebook.com
6. Blogspot.com
7. Wikipedia
8. Ajira.com
9. Mkekabet.com
10. Xvideo.com
11. Google.co.tz
12.Instagram
13.Livescore.com
14.Ghafla.com
15.Meridianbet.co.tz
16. M-bet
17.yts.am
18. Softonic.com
19. Tra.go.tz
20. Miraldayo.com
21. Ask.com
22.Bbc.com
23. Researchgate.com
24. DjMwanga.com
25. Afrtrk.com
26. Necta.go.tz
27. Moneymake.site
28. Befoward.jp
29. 1337x.to
30. Zoomtanzania.com
31. Porn55.com
32. Sportpesa.co.tz
33. Live.com
34. Microsoft.com
35. Myway.com
36. Mwananchi.co.tz
37. Notjustok.com
38. Mpekuzihuru.com
39. Mabumbe.com
40. Amazon.com
41. Bodelen.com
42. Stackoverflow.com
43. Out.ac.tz
44. Flashscore.com
45. Cobalten.com
46. Yingamedia.com
47. Premierbet.com
48. Pornhub.com
49. Savefrom.net
50. Tweeter.com

Umegundua nn?
Mimi nilichogundua watz wengi ni wacheza kamari wakubwa na watazamaji wa porn wa hali juu.
Angalia idadi ya tovuti za mambo ya kubeti zilivyo nyingi.
1. La kwanza ushalisema Vijana wa Sasa ni MWENDO WA KUBET TU.
2.Milard Kashuka sana.
 
Statarea

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
899
1,000
Nikusaidie na pia kwa mwanzisha mada na wengine:

Metrics za Alexa zinaangalia tovuti zinavyotembelewa kwa kutumia browser na si app.

Ni ukweli usiopingika kuwa watu wataenda ku-Google na wataitembelea YouTube kwa browser kabla haijawa-redirect kwenda kwenye app.

Sasa, Facebook, Twitter na Instagram zipo zaidi kwa watumiaji wa app zaidi ya web browser.

JF ikiweka nguvu zaidi kwenye app, itaondoka kwenye hiyo nafasi naamini
Nilitaka kuandika upuuzi sana dhidi ya mleta uzi, lakini kwa kuwa umefafanua hizo takwimu ni za browser pekee hata sipingi lakini vinginevyo HAPANA
 
Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,804
2,000
Nikusaidie na pia kwa mwanzisha mada na wengine:

Metrics za Alexa zinaangalia tovuti zinavyotembelewa kwa kutumia browser na si app.

Ni ukweli usiopingika kuwa watu wataenda ku-Google na wataitembelea YouTube kwa browser kabla haijawa-redirect kwenda kwenye app.

Sasa, Facebook, Twitter na Instagram zipo zaidi kwa watumiaji wa app zaidi ya web browser.

JF ikiweka nguvu zaidi kwenye app, itaondoka kwenye hiyo nafasi naamini
Kweli, maelezo yako yana make sense kabisa
Uki search kitu kwa Kiswahili matokeo mengi unayokutana nayo Google ni ya kutoka Jamiiforums

Hii ndio inafanya iwe na watembeleaji wengi kwenye browser
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,455
2,000
facebook na Instagram ndio site zenye watembeleaji wengi Tanzania, hili hutakiwi kuambiwa na hao Alexa wala nini,lipo obvious kabisa

Mtaani unaeza kuuliza watu hata 10 kuhusu Jamiiforums na 7 wakawa hawaijui kabisa, ila Facebook hata bibi wa kijiji anaifahamu.

JF inafahamika kwa watu wanaofuatilia sana mambo, mpaka sasa hivi haina hata wanachama laki 5, Instagram kuna wabongo kibao tu wenye akaunti zilizozidi followers milioni 2, milioni 1 ndio usiseme
Mkuu Alexa inapima VIews(Traffics) na sio idadi ya Members!!
 
Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,804
2,000
Mkuu Alexa inapima VIews(Traffics) na sio idadi ya Members!!
Idadi ya views ni proportional na idadi ya members...Ukiwa na members wengi inaamaanisha wewe una watembeleaji wengi ndio maana hata ukawa na hao members wengi

Anyway kuna jamaa hapo juu kamaliza mjadala, kasema Alexa inapima watembeleaji wanaotumia browser na sio App, hapo nimekubali maaba watembeleaji wengi FB na IG ni kupitia App
 
Abu_yazid

JF-Expert Member
Mar 28, 2014
2,917
2,000
facebook na Instagram ndio site zenye watembeleaji wengi Tanzania, hili hutakiwi kuambiwa na hao Alexa wala nini,lipo obvious kabisa

Mtaani unaeza kuuliza watu hata 10 kuhusu Jamiiforums na 7 wakawa hawaijui kabisa, ila Facebook hata bibi wa kijiji anaifahamu.

JF inafahamika kwa watu wanaofuatilia sana mambo, mpaka sasa hivi haina hata wanachama laki 5, Instagram kuna wabongo kibao tu wenye akaunti zilizozidi followers milioni 2, milioni 1 ndio usiseme
Lakini ujue pia, watumiaji wengi wa jf hawapo tayari kujulikana kama wanatumia jf huku mitaani... Hilo lipo wazi.. mimi siwezi kukuambia kuwa natumia jf tukiwa huku mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,804
2,000
Lakini ujue pia, watumiaji wengi wa jf hawapo tayari kujulikana kama wanatumia jf huku mitaani... Hilo lipo wazi.. mimi siwezi kukuambia kuwa natumia jf tukiwa huku mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kuitumia, nazungumzia kuijua tu, mwingine ukimtajia hata JamiiForums hawezi kuirudia vizuri...Mkuu Alexa inapima watembeleaji kupitia browser sio appp na ndipo JF imewazidi FB na IG
 
miki123

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
216
500
Idadi ya views ni proportional na idadi ya members...Ukiwa na members wengi inaamaanisha wewe una watembeleaji wengi ndio maana hata ukawa na hao members wengi

Anyway kuna jamaa hapo juu kamaliza mjadala, kasema Alexa inapima watembeleaji wanaotumia browser na sio App, hapo nimekubali maaba watembeleaji wengi FB na IG ni kupitia App
Lakini jamiiforums ina watembeleaji wengi ambao sio members angalia idadi ya views ambao wapo online utaona wengi ni guests
 
Top Bottom