danali
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 1,135
- 1,674
Dada FF, kwa hapa Tanzania, kwa uzuri tu ( siyo kwa ukubwa) kuna msikiti mmoja pale Upanga( siujui kwa jina, ila nasikia unafadhiliwa na Oil Com,) kiukweli ni mzuri sana. Ama pale Kariakoo, msikiti wa Mtoro ni mzuri sana.
Zanzibar maeneo ya kwamchina mwanzo upo msikiti mzuri sana na ndio msikiti mkubwa kwa sasa zanzibar unaitwa masjid nnur kama sikosei