Top 10 most beautiful mosques

Kisichoeleweka nini? Sensa ya mwaka 2012, mkoa wa Dar es Salaam ulikadiriwa kuwa na watu million4.5, sawa na (at least) asilimia 10 ya watu wote wa Taifa la Tanzania. Msikiti wa Makkah, huo Muharram unaweza kubeba watu million4 kwa Ibada kwa wakati mmoja. Itakumbukwa msikiti ni tofauti na nyumba zingine za Ibada, ambapo msikiti inajumuisha jengo lote(indoor worship area) na eneo lake la nje( out door worship premises) hivyo maeneo hayo ukiyajumlisha ndo unapata uwezo wa msikiti( masjid/ mosque capacity).

kwahiyo upo msikiti kati ya hiyo wenye uwezo wakuchukua watu million 4 hapo??? au million 1 ndo 4.
 
Mr Q,
Unajua Mturuki si Mzungu na si Mwaarabu. Ila kwa historia, wamekaa karibu na watu wa Europe kuliko wa Asia. Hata ukimwangalia Father of Nation wa Turkey - ATATURK, kakaa zaidi ki-Europe. Kwa sababu hiyo, tabia za watu wa Istanbul zipo zaidi ki-Ulaya na si ki-Asia. Ndiyo maana hata timu zao za Mpira kama Galatasaray wakipambana na Basiktas, zinapigwa kwelikweli mtaani kama sijui wamekutana Hooligans wa UK.

Waturuki ni wafanya biashara wazuri sana na mfano mzuri ni Mahoteli ya Kitalii, shirika lao la ndege Turkish Air, Viwanda vya Electronics na funga kazi ni Viwanda vya nguo. Ni wachapa kazi na wana technology ya juu mno kwa sasa. Kama wangeliingizwa Europen Union na kuanza kufanya kazi kwa Standard za juu za EU, basi wangelibadilika haraka na kuwa ni moja ya nchi nzuri sana ndani ya EU. Pia kinawasaidia kwamba, wengi wao wako nchi za West kama akina Ozil wa Arsenal ambaye ni Mgeruman. German wapo Waturuki wengi mno. Pia mtu kama CEO wa Coca-cola ambaye na yeye ni Nusu Mturuki. Ukiongeza na MAFIA ya Waturuki, jamaa wana hela yao nzuri sana.

Kwa kusema hayo, inabidi nimalizie kuwa, inapokuja kuvuta watalii, jamaa hawajambo. Huo msikiti peke yake unaingiza fedha nyingi sana. Inadaiwa kuwa kuna sehemu hadi leo misa zinafanyika na huko nafikiri ndiyo unavua viatu ila kuna sehemu pamewekwa kwa sasa kama sehemu ya watalii kutembea (UNESCO) na nafikiri hata wao hawawezi kupagusa bila kuomba kibali cha Unesco hata kama ni matengenezo. Ila wao ndiyo wanafaidika kwa kuwa ni Official sehemu ya kihistoria na hivyo watalii ni wengi sana.

Mturuki wa Istanbul kwa sasa yupo Europe na mbali na ASIA. Sidhani huko hata hizi mila za kuoa Bikira wanazifuata kwa sababu nilishakutana na Mabinti wengi wa Istanbul wakijirusha na Wanaume na kupata Bange na Pombe kwa wingi sana.

Aksante kwa kunifahamisha natumai kuna kitu wenzangu wamejifunza pia..
 
kwahiyo upo msikiti kati ya hiyo wenye uwezo wakuchukua watu million 4 hapo??? au million 1 ndo 4.

Pamoja na andishi aliloweka dada FF kuonyesha wazi kuwa kwenye list ya top ten mosques, msikiti namba moja unaweza kubeba watu million4 bado unakuja kuniuliza mimi? Kwenye maelezo ya uzi angalia Namba1. Badala ya kuisoma thread na kuelewa yote unakurupuka na kuja kuniuliza mimi. Pia Msikiti Namba mbili ndo unauwezo wa kuchukua watu millioni1. Soma uzi uumalize wote na uuelewe kabla ya kukurupuka kuchangia uzi na michango ya wenzio!
 
Akili ya dada@faizafox wewe huwezi kufikaa

Una dalili zote saba za mnafiki

Afterall, i never expect white from charcoal. Charcoal will remain black untill then.

But, did you consult your brain to observe the topic before you did character assassination?! This must be the clear meaning of iron brain. Be noted, You are dealing with high esteemed Gold brain.
 
Mkuu TECHMAN, ni kweli sielewi.
CIA ni chombo cha ki-intelijensia cha Wamarekani; so ninafahamu kuwa Marekani na ISLAMIC WORLD mahusiano si mazuri. CIA inafanya nini kule?
Uhasama kati ya christian world na Islam world ni wakutengenezwa, je unafahamu kuwa kuna waisilamu wengi sana katika CIA na hata katika majeshi ya marekani?
Ninachosema kuwa ofisi za CIA, ni ofisi za siri, misikiti hiyo inayotumika ni mojawapo ya misikiti ya zamani sana, kuna vyumba vingi ambavyo hata wakazi na watumiaji wa msikiti ni wachache sana wanavifahamu, most are underground rooms. Jua kuwa ofisi hizi zipo katika nchi rafiki na marekani
 

Similar Discussions

18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom