Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,674
- 112,687
Usituzibie riziki babu weeh. Koma kabisaa
Mh....
Kwahiyo nawewe umrembo ehhh...?
Usituzibie riziki babu weeh. Koma kabisaa
Wanawake warembo wengi pasua kichwa. Achana nao.............
wewe wasema
wengi wana wake zao
warembo na wazuri
hizo gharama hawatoi wala mapedeshee
hawasogei kwa wake zao!!acha uongo!!
Wewe hua unatoa hiyo pesa au unawaongelea wenzio
eti eeee!!kweli muogaHuyu sio muongo ni muoga.
umesahau mbele ya pesa chupi zote zitavuka???